Mzigo wa Jezi za Simba umeshafika

BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
4,229
5,261
Timu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter imetoa taarifa ya kuwasili mzigo wa jezi za timu hiyo kwa msimu 2023/24.

"Mzigo wa Jezi Mpya za msimu wa ligi 2023/24 tayari umewasili Tanzania tena wa kutosha na zitaanzwa kuuzwa mara tu baada ya kutambulishwa rasmi mwanzoni mwa Julai" Mwisho wa kunukuu.

FzsAUQ7XoAIaMQW.jpg
 
Timu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter imetoa taarifa ya kuwasili mzigo wa jezi za timu hiyo kwa msimu 2023/24.
Nanakuu...
"Mzigo wa Jezi Mpya za msimu wa ligi 2023/24 tayari umewasili Tanzania tena wa kutosha na zitaanzwa kuuzwa mara tu baada ya kutambulishwa rasmi mwanzoni mwa Julai" mwisho wa kunukuu.
Nani wa kununua huo uchafu?
 
Yanga budget ya msimu huu itakuwa 20 billion.

Mbumbumbu Maandazi Fc hawa watani ngoja tuwaige tuwadanganye watu budget yetu B23.

Yanga tayari jezi za msimu huu zipo tayari zinapatikana kwa oda namba hizo.

Mbumbumbu Maandazi Fc hawa Yanga wanatuzid ngoja na sisi tudanganye mbumbumbu wenzetu kwamba jezi zipo tayari.

Ukiwa shabiki wa Makolo automatically huna akili ni mbumbumbu...
 
Timu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter imetoa taarifa ya kuwasili mzigo wa jezi za timu hiyo kwa msimu 2023/24.

"Mzigo wa Jezi Mpya za msimu wa ligi 2023/24 tayari umewasili Tanzania tena wa kutosha na zitaanzwa kuuzwa mara tu baada ya kutambulishwa rasmi mwanzoni mwa Julai" Mwisho wa kunukuu.

View attachment 2671784
Simba hivi mmekosa kabisa designers wazuri wa jezi? Si mngemfuata hata Mustapha Hassanali awasaidie?
 
Yanga budget ya msimu huu itakuwa 20 billion.

Mbumbumbu Maandazi Fc hawa watani ngoja tuwaige tuwadanganye watu budget yetu B23.

Yanga tayari jezi za msimu huu zipo tayari zinapatikana kwa oda namba hizo.

Mbumbumbu Maandazi Fc hawa Yanga wanatuzid ngoja na sisi tudanganye mbumbumbu wenzetu kwamba jezi zipo tayari.

Ukiwa shabiki wa Makolo automatically huna akili ni mbumbumbu...
wahuni katika ubora wao, ina maana vunjabei walishamwondoa mapema kabisa!

inakuaje mzalishaji wa jezi katangazwa hata mwezi haujaishi jezi ziwe zimefika? lini walidesign? lini alipeleka kiwandani oda, lini zimesafirishwa?......

hujuma, wamemhujumu fred
 
Sawa

Similar Discussions

Back
Top Bottom