Mzigo umedunda!

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
















Kifaa hiki kinanusa unga na kemikali za utengenezaji wa bomu. Wanagusa ngozi,nguo na begi na kitambaa. Kinatumbukizwa na kutoa majibu. Chembechembe zinajificha katika tundu za jasho, macho hayaoni hata ukioga.


Unasomwa tabia yako na mabingwa wa kusoma watu sura na tabia katika mazingira tofauti.
 
Tokyo40 za siku kaka?
 
Last edited by a moderator:
Halafu wengine huweka na pilipili mbwa asinuse watu na kazi zao

Kuna mmoja alitia unga katika crayons za watoto katoa mirija ya rangi kaweka poda lol
 
nchi Indonesia ndio kiboko yao unapgwa risasi hadhaharan haijalsh ni citzen wa Us au...
 
nchi Indonesia ndio kiboko yao unapgwa risasi hadhaharan haijalsh ni citzen wa Us au...

Nchi nyingi Asia wananyonga au kukupiga risasi ukikamatwa na unga. Singapore, China, Vietnam na Malaysia pia wanaua kwa kosa hili.

Indonesia haupigwi hadharani na wanakupa muda wa kutosha kujitetea na kutumia sheria mpaka mwisho. Una haki ya mwanasheria, kutembelewa na maofisa wa ubalozi wako pamoja na ndugu zako. Pia una haki ya kusoma na kujiendeleza kimasomo ukiwa mfungwa.

Wakishindwa appeal ya mwisho, wanamwomba Raisi msamaha. Raisi hatowi msamaha kwa kosa hili hata wazungu wambane vipi. Walijitahidi na propaganda zao katika magazeti lakini raia wa Australia wawili wakapigwa shaba kama sheria ilivyoamua.
 
Halafu wengine huweka na pilipili mbwa asinuse watu na kazi zao

Kuna mmoja alitia unga katika crayons za watoto katoa mirija ya rangi kaweka poda lol




Hawezi kuficha unga na pilipili hapa wala katika crayons. Tamaa inawaponza.

 
Mzungu ana akili kuliko binadamu yeyote duniani ushahidi ni ufumbuzi wa hiyo mashine

Kama na wewe ubabisha njoo na ushahidi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…