Mzigo mzito mpe mnyamwezi

sio mizigo mizito hiyo.... ni ile mingine kijana vipi mbona unatukosea wazee wako
 
Kama huyo Mwanamama asingekuwa anaongozana nae hapo nina hakika huo mzigo asingepiga nao hatua hata hamsini...
 
Hiyo ni mizigo mikubwa mikubwa. Inawafaa watu Afrika.
 
Kama kuhamisha toka duka moja kwenda lingine sio mbaya, kama ni umbali hawa matajiri wengine wamezidi ubahili sasa
 
Kama kuhamisha toka duka moja kwenda lingine sio mbaya, kama ni umbali hawa matajiri wengine wamezidi ubahili sasa

Kama wawekezaji wa kichina kariakoo
 


Bado hawakubali kuwa muda wao wa kutembea uchi umekwisha ingawa hairuhusiwi lakini ikifikia umri fulani inabidi ubadilke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…