Gari nzuri sana. Hiyo ni sifa. Nimeiongelea kwa lugha ya vijana kaka. Kumbe hujanielewaHizo gari zina effect gani kwako mkuu
Alafu asbh ulikua unatafutwa kule jukwaa la mapishi mkuuGari nzuri sana. Hiyo ni sifa. Nimeiongelea kwa lugha ya vijana kaka. Kumbe hujanielewa
Alafu asbh ulikua unatafutwa kule jukwaa la mapishi mkuu
Wewe ndo mana walikupiga juzi