Mzee Yusuph Kesi yake Imefikia Hatua gani??????????/

Mzee Yusuph Kesi yake Imefikia Hatua gani??????????/

Bacron F

Senior Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
160
Reaction score
10
Please mwenye taarifa kuhusu ile kesi ya kumlawiti kijana wa watu inayomkabili Mzee Yusuph anijuze imefikia hatua gani? Nasikia eti tayaari kashaachiwa huru! Pesa imefanya kazi au ni uzushi wa watu?

Nawasilisha!!!!!!!11
 
Kwa nini unaamini kupitia fedha? hukuona anamlawiti bali ulisikia! lakini ukaamini leo umesikia ametoka unatunga kichwani pesa imefanya kazi mbona mwanzoni hukuwaza labda kasingiziwa?
wewe mtoto wa kiume acha hizo tabia za upande wa pili!!!!!!
 
Kasingiziwa wapi? Jamaa ni boya sana mambo ya ushirikina mabaya sana ndio akome!@Julius
 
Back
Top Bottom