guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,755
Daàaaah
Enzi za JK,Mzee alifanikiwa sana akaanzisha biashara,akaacha kuimba akijua biashara zitamlipa. Sasa Magufuli kabana miaka 5 michungu. Biashara haziendi,mkopo bank anadaiwa.
Kaona bora arudi kuimba.
Mnaompinga mlitaka akaibe ?
Kila lenye kheri mzee. Halafu kwa ujinga wenu bado mtampigia kampein Magufuli.
Tusipompigia Magufuli tumpigie nani?Enzi za JK,Mzee alifanikiwa sana akaanzisha biashara,akaacha kuimba akijua biashara zitamlipa. Sasa Magufuli kabana miaka 5 michungu. Biashara haziendi,mkopo bank anadaiwa.
Kaona bora arudi kuimba.
Mnaompinga mlitaka akaibe ?
Kila lenye kheri mzee. Halafu kwa ujinga wenu bado mtampigia kampein Magufuli.
Ni dhambi amerudi kwa maamuzi yake hajaruhusiwa na kitabu chochoteKwahiyo uislam umemruhusu arudi?!au muziki sio dhambi Tena kwa mujibu wa uislam?!!
Au ameisoma namba weeeee!akaona hapa atakufa njaa!!!maana hizi dini hizi!!!
LissuTusipompigia Magufuli tumpigie nani?
Taarabu bado inapendwa sana has a huku kwetu mikoa ya pwani..Ok sawa!
Je amefanya research ya kutosha kama anapendwa au taarabu haijaathiriwa na bongo fleva kabla kufanya maamuzi ya kurudi?
...😂😂😂.Nasikia vijana wanaenda huko hawafuati taarabu, wanafuata mijimama.