Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,648
- 167,553
Yaitwaje sheikh??Hiyo ni tamthiliya bwashee!
Sinema zetu bhana,Anayeigiza Polisi au Jambazi lazima Avae miwaniππ
Sinema zetu bhana,Anayeigiza Polisi au Jambazi lazima Avae miwaniππ
Sio video ya taarab kweli..??
Ustaadh una maneno mengi balaa!Eti itadamshii!ππππItadamshiiiii
Nimefundishwa JamiiForums, zamani nilikuwa bubu, JamiiForums ikaniponya ububuUstaadh una maneno mengi balaa!Eti itadamshii!ππππ
Eti nilikuwa najua Ni Mbwana SamattaMwenye shati jeupe anaonekana tu ni wale askari wa Bongo movie
Afadhali.Maana ungekuwa "bubu msema hovyo"!πππNimefundishwa JamiiForums, zamani nilikuwa bubu, JamiiForums ikaniponya ububu
Otakuwa alikuwa anamuuliza mtuhumiwa kwa nini amenyoa mtindo wa "pancha"!ππpolisi wa kulia ana sura mbaya
Aha hahah hahahhAfadhali.Maana ungekuwa "bubu msema hovyo"!πππ