mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 85,006
- 115,573
Waganda wana kazi halafu jamaa hata huwa haliugui kabisa kwahiyo kama kifo ndio kit aka children vanishes na uongozi nadhani iatabidi wasubiri sana tena sana
Huyu mzee ana akili nyingi sana
Sanaaaa Ana mbinu nyingi sanaHuyu mzee ana akili nyingi sana
Tumuunge mikono
Mimi namuunga mkonoYoweri atakapomuona rais wa Uganda katika maisha yake anaweza kufa, psychologically ameshajiweka kuwa yeye ni rais wa maisha wa Uganda.
DuhMimi namuunga mkono
Kashagawambia ambao wanaitaka hiyo nchi waende msituni
Mbona kitu simple tu
Urais siyo udiwan kuwa kila mtu lazima awe rais
Mseven yuko sahihi yeye alienda msitun ndo akaja akachukua nchi
Hivyo ana uchungu nayo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI HAPO KUNA MTU ANAPIGWA KIUHALISIA?Aisee hii picha imenitoa machozi.!
Yaani utadhani wanaponda mwizi
Na hapo hata wakiua hawachukuliwi hatua utaambiwa marehemu alikuwa mchochezi akauawa na mabeberu!
Msaada please naomba kufahamu huyo kamanda anayepigwa hapo kwenye picha ni mbunge au diwani wa wapi? Na je alinusurika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya mwaka juzi kama sikosei au hata zaidi