Mzee wetu Sitta na tamaa ya uspika

Mzee wetu Sitta na tamaa ya uspika

isidingo 1961

Senior Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
106
Reaction score
13
Hakika nimeshangazwa sana kumwona Mzee Samwel Sitta akichukua fomu ya kuomba Uspika kupitia CCM. Nasema nimeshangazwa kwani sikutarajia Mzee Sitta angefanya hivyo kutokana na jinsi alivyoliendesha Bunge la Katiba hovyo kwa kuyaondoa MAONI na MAPENDEKEZO ya watanzania na kuweka mawazo ya kifisadi ya kuwalinda viongozi wa CCM na kujiwekea uongozi wa kifalme kwa familia zao.

Kama haitoshi, alidiriki kuwatukana viongozi wa dini walipohoji mwenendo wa Bunge.

Maoni yangu: MZEE SITTA HAFAI KUWA SPIKA.
 
Hakika nimeshangazwa sana kumwona Mzee Samwel Sitta akichukua fomu ya kuomba Uspika kupitia CCM Nasema nimeshangazwa kwani sikutarajia Mzee Sitta angefanya hivyo kutoka Na jinsi alivyoliendesha Bunge la Katiba HOVYO kwa kuyaondoa MAONI Na MAPENDEKEZO ya WATANZANIA Na kuweka mawazo ya kifisadi ya kuwalinda viongozi Wa CCM Na kujiwekea uongozi Wa kifalme kwa familia zao.Kama haitoshi alidiriki KUWATUKANA Viongozi Wa DINI walipohoji mwenendo Wa Bunge.Maoni yangu MZEE SITTA HAFAI KUWA SPIKA.

Kwa mtizamo wako unaona nani anafaa kuwa Spika.
 
Huyu mzee mwehu kabisa utadhani alizaliwa ili awe spika milele.
 
Mzee KM zimesoma lakini bado anaamini gari ni mpya
 
Mke mbunge, yeye akiwa spika mambo ya kibunge wanaweza kupanga kitandani. Muogopeni kama ukoma, uspika unamfaa Zungu.
 
Tunahitaji fikra mpya si wale wale wa zaman, binadam huwa hatutosheki si angepumzika tu?, we should learn to do some thing once itatosha sana.
 
Hakika nimeshangazwa sana kumwona Mzee Samwel Sitta akichukua fomu ya kuomba Uspika kupitia CCM Nasema nimeshangazwa kwani sikutarajia Mzee Sitta angefanya hivyo kutoka Na jinsi alivyoliendesha Bunge la Katiba HOVYO kwa kuyaondoa MAONI Na MAPENDEKEZO ya WATANZANIA Na kuweka mawazo ya kifisadi ya kuwalinda viongozi Wa CCM Na kujiwekea uongozi Wa kifalme kwa familia zao.Kama haitoshi alidiriki KUWATUKANA Viongozi Wa DINI walipohoji mwenendo Wa Bunge.Maoni yangu MZEE SITTA HAFAI KUWA SPIKA.
RIP Mzee Six.
 
Ktk Mazingira ya Leo, Mzee Sitta anastahili Uspika.

Tunahtaji kufanya overhaul/frushing ya mifugo ya Makapi
 
Yaani hata mimi kwa maoni yangu huyu mzee hafai kuwa spika yeye na ndugai hawafai kabisa, wapeleke tamaa zao huko walipozaliwa😡
 
Sitta hafai hata kidogo alitukosea sana kwny bunge la katiba.....
 
Spika ni sita!!toka lini ukawa mkataka kuipangia ccm kuteua spika nyie si mna haki ya kumleta spika wenu mleteni aje kupambanishwa na wa ccm!!
 
Hakika nimeshangazwa sana kumwona Mzee Samwel Sitta akichukua fomu ya kuomba Uspika kupitia CCM. Nasema nimeshangazwa kwani sikutarajia Mzee Sitta angefanya hivyo kutokana na jinsi alivyoliendesha Bunge la Katiba hovyo kwa kuyaondoa MAONI na MAPENDEKEZO ya watanzania na kuweka mawazo ya kifisadi ya kuwalinda viongozi wa CCM na kujiwekea uongozi wa kifalme kwa familia zao.

Kama haitoshi, alidiriki kuwatukana viongozi wa dini walipohoji mwenendo wa Bunge.

Maoni yangu: MZEE SITTA HAFAI KUWA SPIKA.

Ni kweli Sitta hafai kwasabb ya yale aliyoyafanya BMK. Lakini kwa niwajuavyo ccm, huu ndiyo muda wa kumpa tuzo mr. Six. Maana yote aliyoyafanya yalitokana na maagizo ya ccm.
 
Kwahiyo Mr. Six ndiye spika ajaye.
 
Mke mbunge, yeye akiwa spika mambo ya kibunge wanaweza kupanga kitandani. Muogopeni kama ukoma, uspika unamfaa Zungu.

Nakubaliana Zungu anafaa kuliko Samwel Sitta. Ningeweza kumpendekeza Ndugai ila nae ana mahasira yasiyojenga bali yenye kuonyesha madaraka hivyo hanishawishi. Zungu ana uzoefu wa muda mrefu na anakubalika kwa rika zote.
 
Inasikitisha hum JFwatu wengi wapo kiushabiki zaidi. Ingefaa zaidi kama mambo yanayo tugusa kitaifa hasa ya kugawana raslimali za nchi ili tupate wote hali nzuri ya maisha,tuchangie mada bila ushabiki wa vyama.Tusiwe kama wenzetu wa ndiyoooo.....
 
Back
Top Bottom