Mzee Wassira yuko wapi?

Hata alipo bwagwa na Bulaya alikuwa na baraka za viongozi wake
Haahhaha mtihani wa kwanza itakuwa kuvuka kiunzi cha kura za maoni kwenye chama chake. Maana kuna mjaluo mmoja ambaye ni mpambe wake (jina kapuni ) hujimasibu kuwa wasira katumwa na wakubwa aende kugombe jimboni humo.
 
Naona mwezi huu umeamua kupeleka njaa kwa huyo dada!
 
Vizuri sana kama ana biashara ya mifugo pia. Na hakukosea chama chenu kinazidi kujifukia ndani ya futi sita.

Acha wivu.. kufuga ni dili kubwa tu.. wewe kaa ulie lie juu ya kuwa mfata mkumbo
Njaa inamsumbua huyu kijana ndie alikuwa mramba viatu vya lowassa!
 
Nasikia ana mke. So angalia unapoulizia wanaume waliooa.

Yupo anasikilizia mpambano kati ya vijana wanaotumiwa kukisambalatisha cdm kwa jicho la tatu. Akina Kigogo Abdul Nondo na Kumbusho
Wakitumwa na kabwe
Nae ataibuka kumalizia maneno ya wmisho ya hekma
 
Vizuri sana kama ana biashara ya mifugo pia. Na hakukosea chama chenu kinazidi kujifukia ndani ya futi sita.

Acha wivu.. kufuga ni dili kubwa tu.. wewe kaa ulie lie juu ya kuwa mfata mkumbo
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi wewe endelea kumtunza mwana wa kichina hapo ilala boma
 
Mzee yuko imara sana na atanatarajiwa kukabidhiwa Jimbo la Bunda Novemba, 2020 upende usipende.
 
Kama ndiyo hivyo mbona alishindwa kukabidhiwa hilo Jimbo wakati wa siasa za kistaarabu?
Mzee yuko imara sana na atanatarajiwa kukabidhiwa Jimbo la Bunda Novemba, 2020 upende usipende.
 
Wana Bunda tunamuhitaji huyu, Oktoba 2020 tusirudie kosa la 2015.
 
Yuko zake Mbweni uko anakula upepo wa bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…