Haha kweli kila zama na kitabu chake.....
Enzi hizo Wassira ndo alikua kiungo muhimu ukitaka kuonana na Rais!!
Maisha yanabadilika sana!
Nakumbuka aliwahi kutowa kauli tata, alipoulizwa na mwandishi mmoja wa habari juu ya kuteswa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda, Wasira alijibu:…Kibanda ni nani katika siasa za vyama vingi Tanzania hadi Serikali imsake na kumtesa? Yeye siyo Mbowe, Slaa au Lipumba. Hata kama Serikali ingeamua kupambana na maadui zake Kibanda bado hawezi kufuzu kwa sababu yeye hayuko chama cha upinzani.
Labda kwa mitutu na upindeYupo kwake bunda akifanya vikao vya hapa na pale vizivyo rasmi juu ya kuwania ubunge. Bulaya anaweza asirudi kwa tiket ya ubunge wa kuchaguliwa na wananchi wa bunda... lolote lawezekana kwenye siasa hizi
Haahhaha mtihani wa kwanza itakuwa kuvuka kiunzi cha kura za maoni kwenye chama chake. Maana kuna mjaluo mmoja ambaye ni mpambe wake (jina kapuni ) hujimasibu kuwa wasira katumwa na wakubwa aende kugombe jimboni humo.Labda kwa mitutu na upinde
Atatembwezwa kama Nape asisahau kitambaa cha kufutia jasho.Hakika mkuu kwa sasa sipati picha kama anaweza kwenda ikulu bila kubisha hodi