Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Huna jipya Nape! Wenzio wanakutumia kukuua kisiasa. Jiulize yuko wap makamba.
Nape nasikitika kwa cheo chako hiki ndicho unachoweza kuandika, inasikitisha and it also show how not serious you are.Please stay away kwenye hii mitandao ya jamii nafikiri una namna bora ya kutoa maoni yako than what you have just done.Kama mwana CCM inanisikitisha
Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!
Nnauye Jr hapo kwenye nyekundu ndipo ulipojiharibia ujumbe unaokusudia kuufikisha.Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!
Huna jipya zaidi ya kutumia njaa ilokujaaa
Mkuu Nape, heshima kwako. Mwalimu mzuri ni yule anayefanikisha kubadili uwezo wa kufikiri kwa walengwa wake na sio anaye wafanya walengwa wa mchukie kwa kuwa anachokieleza ni cha uongo na kipo kwa ajili ya kutetea maslahi ya baadhi ya watu. Moyoni mwako mwenyewe unajua fika kuwa bajeti hii haitekelezeki kabisa.Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Lakini kwanini vijana wasomi kama wewe msituokoe sisi masikini, taifa letu? Njaa zenu, na tamaa mlizonazo na sifa mnazotaka kwa nguvu ndo zinatupa wasiwasi sisi vijana. Kinachotuuma zaidi sisi ambao hatuko kwenye sisitimu tutaendelea kuwa masikini zaidi na watoto wetu watarithi umasikini wetu maana kile tunachojaribu kuserve mnatunyang'anya.Ningekuwa nakufa kisiasa msingesema, mngenyamaza kimya nife vizuri...... Nikifa nakufa mimi kulikoni kikuume wewe?!!!!!
I am very sorry about you Nape!
But I am sure time will tell and you will remember your words and regret. You should understand this is world and one day you will leave it and go somewhere which you will never or see all these problems we are facing now and then! But you will be asked by the one what did you do when I selected you to present all Tanzanians?
No one will die and go to the heaven with these money, good clothes, good house whichever! For this short time we have been given by our ALMIGHT GOD to live in this world with a lot problems (especially Tanzania) try to do the best you can for all WANYONGE Nape. I am telling there are a lot of people who are suffering because of your leadership, especially women and small children.
One day you will pay back all! How and when don't ask BUT GOD is watching you believe me or not. This is a massage for you especially for this weekend, stay somewhere and ask your self I am doing all these and then what?