Mzee Warioba,Dk salim ,Butiku nyumba i ateketetea mmelala! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Warioba,Dk salim ,Butiku nyumba i ateketetea mmelala!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KYALOSANGI, Feb 23, 2011.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kama binadamu tungekuwa tunarudi kuja kusalimai baada ya kufa !Siku mwalimu Nyerer angerudi angepata wendawazimu kutokana na nchi aliyoiacha inavyoendeshwa !Hakuna haja ya kuoredhesha upupu wa ombwela uongozi ambalo ni janga kuu linalokuja .Naona limechelewa tu kutokana na ujinga wetu.
  Hata hivyo watu chini tumeshapiga kelel vya kutosha .Lakini nchi hii ina watu angalau ambao wanaweza wakasimama wakakemea na kutoa mwelekeo!Lakini cha ajabu nao wamekaa kimya au wakiongea wanaongea kwa kumung'unya maneno! jambo hili ni hatari ....Ukweli ni kwamba uongozi wa JK umeshindwa kujibu matakwa ya wananchi! kuna uchafu mwingi umefanyika ndani ya serikali ambao uko wazi kabisa .
  Nawasihi wazee wetu hawa waamke ,watanzania tunawaheshimu ni hatari kubwa nchi inapokosa Dira! kama leo Rostam AZIZ anaweza kutoka from no where akapanda hadi kwenye kamati kuu ya CCM!NA KUWA MTUNZA HAZINA ! HII NI LAANA!ANGALAU BASI WANGEKUWA WASAFI !Lakini ndiyo huyo mwenye uhusiano na makampuni ambayo BUNGE lilitamka kuwa ni ya kitapeli!
  Jamani tunaweza kuwa ni wajinga lakini si wapumbavu kuna siku tongotongo zitatutoka sijui mtatuzuia vipi!
  Wazee wetu haya mabo yanatokea mkishuhudia utumishi wenu uliotukuka ******* dosari kama mnayashuhudi haya ....chukueni hatua msilalamike kama sisi ! Uwezo mnao ...Historia itawahukumu!
  Sina njia nyingine ya kuwafikishia wazee hawa ,natumaini ujmbe utafika!
   
 2. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hawa Wazee wana muda kweli wa kuvinjari humu jamvini? Sijui!!!......................
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka Mzee Butiku aliwahi kumwandikia Mkapa barua kali sana kuhusu utataribu wake wa kubinafsisha chama. Mkapa alimsema vibaya mzee Butiku hadharani. Barua hiyo tuliiona hapa JF. ALiwahi kuzungumza pia kuhusu usanii wa serikali ya sasa, lakini alitishiwa kuwa hata yeye si msafi.

  Wazee hawa wako nje kutokana na siasa za fitna. Salim anajua alichofanywa alisema hataki mambo ya kitoto. Warioba ametishwa na Meremeta.

  Hizo ndio siasa za Tanzania. Rostam now is in power he can do whatever he can, hakuna anayeweza kumwondoa pale.
   
 4. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  du mambo ya kitoto !nchi kuanguka ni mabo ya kitoto? Meremeta ....kwani naye yumo? Hakuna anayeweza kumwondoa!!??? Labda kama mungu wangu amekufa!
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  [​IMG]

  Defiant Gaddafi vows to fight on

  In televised speech, Libyan leader blames youths inspired by regional events for uprising and vows to die a 'martyr'. ( 23-Feb-2011 )

  SWALI HUMU: UTAMADUNI WA KURITHISHA WATOTO WA WAKUBWA
  UKUBWA TANZANIA CHANZO CHAKE NI WAPI???


  Nani anayejua hasa darasa la huyu King of Kings?

  Kwa mtaji wa hutuba aliyoitao hivi majuzi ni mara mia angjinyamazia tu hivyo tungeendelea kumfikiria mstaarabu fulani hivi. Kwa kujiunga kwake jeshini akiwa na umri wa miaka 12 (child soldier) wala hatuhitaji kuuliza kama 'ALIONEWA SANA YEYE', 'AKADHALILISHWA SANA GADDAFI' hivyo kuja kupata kamwanya wa kuongoza nchi kwa mtindo wake mwenyewe hivi sasa anarudishia ngumi kwa jamii nzima ya Libya.

  Tujifunze kitu basi na sisi hapa kwamba wale tuliowahi kuwaondoa kwenye nyadhifa fulani hapa nyumbani kufuatia kashfa iliyogoma kwisha katikati yetu hadi leo, nao wakija tu kupata urais wa nchi hii mtindo wao wenyewe na tusifikirie matendo yao kutofautiana sana na ya huyu nduli hapa.

  Hakika shule iliomuingia mtu na kutulia ndani mwake ni muhimu zaidi tena sana kuliko shule ya kupitia hata kama madarasa yako ni mengi kimahesabu vidoleni.

  Kanali Gaddafi ajikaanga kwa ulimi wake mwenyewe. Na watoto wake , masikini ya Mungu, ndio kabisaa wanaamini taifa zima la Libya ni kama shamba binafsi la ukoo kwa baba yao.

  Nikitazama ya Ben Ali wa Tunisia, nikamgeukia Hosni Mubarak wa Misri na kumtaza mzee huyu ambaye kimawazo ni 'chipukizi' tu, na mwenendo mzima wa ushiriki wa familia zao katika mambo ya utawala wa nchi, Wa-Tanzania wenzangu NAPATA MAJIBU KUBWA SANA HAPA HAPA NYUMBANI kwamba ni kwa nini kati ya marais wetu wote wanne ni wawili tu kati yao ambao waonekana kupenda saana KUWARITHISHA UKUBWA WA TAIFA HILI kimtindo!!

  Endapo Hussein Mwinyi hatojiuzulu ya Gongolamboto kwa kiburi tu kama ya watoto wa marais niliotangulia kuwataja kaskazini mwa bara hili basi huenda hata UKUBWA WA ZANZIBAR unaotazamiwa kwake ukagoma lakini ya Muungano ndio kabisaaaa wa kusikia tu redioni.

  Je, inamaana wazee wengine akina Salim Ahmed Salim, Sinde Warioba, Mwalimu Nyerere, Phili Mangula, Joseph Rwegasira, Salmin Amour, Seif Shariff Hamad, Duni Haji Duni, Bibi Titi, Mama Mongela, Edith Mnuo, Dr Slaa, Prof Mwandosya, Prof Baregu, Mzee Kisumo, Edwin Mtei, Kambona, na wengine wengi tu ... wao hawana watoto wa kuwea nao kutamani kuwarithisha UKUBWA???

  Katika hili tayari Vijana wa Tanzania TUMEWASOMA MCHEZO MZIMA na majibu tunayo!!!​
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Mkuu madingi wanaogopa kukolimbwa.
   
Loading...