Mzee wangu ni fundi wa ujenzi

Ungeweka na sample ya baadhi ya kazi zake. Wa bongo wengi Matomaso
 
Mkuu hapa mzee wako anahusikaje kwenye hili ?
 
Ndio mkuu lakini kwenye kichwa Cha habari umeweka Mzee wako ni mjenzi mkuu Kisha kwenye maelezo hakuna Mzee wako ila ni jirani
Nimemuita Mzee sababu ni MTU mzima.
Lakini sikumaanisha Mzee ya Baba angu mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…