Mzee wangu ananichanganya

Kwani ameambiwa asipofata ataadhibiwa?

Hakuna sharti hapo ni ushauri tu, kama hataki kufata ushauri wa baba yake basi.

Sio kumleta hapa kudhihakiwa.

Wanaodhihaki siwajibu kitu, wala dhihaka zao haziwezi kumfikia mzee. Ukidhihaki mzazi wa mwenzio dhihaka hurudi kwa mzazi wako. Na utakuwa unaonyesha upeo wako ulivyo finyu, na ni dalili ya kuwa huheshim hata wazazi wako
 
Mzee wangu simuelewi kabisaaaaa. Mwaka wa 4 huu amekuwa akinisisitiza nitafute mwanamke mwenye sifa zifuatazo :- - Awe na elimu isiyopungua form six, na kama ana six awe na mpango wa kusoma zaid ya hapo - Asiwe mzungu, mhindi wala mchina - Awe anaingiza kipato kama kazi au biashara - Asiwe "mtoto wa mjini" Na mbaya zaidi atataka amu-interview kama ana uwezo wa kujieleza, kabla hajaamua kumkubali. Ninacho shangaa, hajawahi kunieleza kama mapenzi ni muhimu au sio muhimu. Na kali zaidi mke wake mwenyewe (maza) kaishia la 7. Naona kama kuna mbinu za kunitafutia mke hivi . . . .
Anakupa nafasi ya kuwa na wide choice. Usiogope kuchaguliwa mke kuna baraka zake na hasa kama anayekuchagulia ni baba.
 
Jaba-li,

Baba yako ni mchaga nini? Maana kuna thread fulani humu jamvini... i am smelling something fishy
 
Love should contribute to about 10% of your decision to marry someone!! Love is a result of a good marriage..
Ask yourself the following questions...(file attached)

note: If you want english version, plz pm!!!!
 

Attachments

  • MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOLEWA.pdf
    106.3 KB · Views: 558
Mzee wangu simuelewi kabisaaaaa. Mwaka wa 4 huu amekuwa akinisisitiza nitafute mwanamke mwenye sifa zifuatazo :-
- Awe na elimu isiyopungua form six, na kama ana six awe na mpango wa kusoma zaid ya hapo
- Asiwe mzungu, mhindi wala mchina
- Awe anaingiza kipato kama kazi au biashara
- Asiwe "mtoto wa mjini"
Na mbaya zaidi atataka amu-interview kama ana uwezo wa kujieleza, kabla hajaamua kumkubali. Ninacho shangaa, hajawahi kunieleza kama mapenzi ni muhimu au sio muhimu. Na kali zaidi mke wake mwenyewe (maza) kaishia la 7. Naona kama kuna mbinu za kunitafutia mke hivi . . . .


Hahahahahahahaaaaa....we mzushi man...acha kumsingizia mshua kaka.......Amuinterview mke wa kuishi na mwanane??? why?? anyway Nimefurahi sana...thanx tena....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom