PostGE2025 Mzee wa Upako: Nimeumia sana waumini wangu walipoteza maisha Oktoba 29

PostGE2025 Mzee wa Upako: Nimeumia sana waumini wangu walipoteza maisha Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Antony Lusekelo maarufu kama Mzee waupako afunguka mazito baadhi ya waumini wake kupoteza maisha kwenye maandamano ya October 29.

"Niwape pole sana watanzania hakuna mtu ambaye hajaguswa na jambo hili, mimi mwenyewe kuna wanaumini wangu walipigwa risasi Kimara"

 
Huu ukoo wa panya unahusika na vifo vya Watanganyika!
Screenshot_20251130-084956~2.png
 
Hakuna muda wa kupoteza kuna washenzi wanaoua watu wetu lazima wapotezwe ***** zao Samuya na maku zake alizoziteua wakati ye mwenyewe ni batili bin haram
 
Mpuuzi huyu si alikuwa ccm anatunanga kila siku, akale alikopeleka mboga.

Huwa sielewi mtu unaakili timam unawezaje kuamka kwako, ukaenda kanisani kumsililiza huyu mlevi.

Hili halina tofauti na wasanii wa ccm.

Likataliwe kwake na duniani.
 
Back
Top Bottom