Mzee wa upako, Lusekelo ndani Arusha leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa upako, Lusekelo ndani Arusha leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mareche, Mar 18, 2011.

 1. m

  mareche JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mchungaji lusekelo leo alikuwepo kwenye uwanja wa stedium akihubiri na kutoa upako na kusema babu wa loliondo anatibu kwa kikombe yeye anatibu kwa maombi nawakilisha
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Sadaka imeelekea Loliondo basi laana za kila aina kwa Babu.
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Join Date : 18th March 2011
  Posts : 9
  Thanks 1Thanked 2 Times in 2 PostRep Power : 0
  Bado unakamba mguuni! Kaza buti!
   
 4. m

  mareche JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  poa ndalo nitajitahidi kuzifungua kaka
   
 5. m

  mareche JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hawata muweza babu umesikia huyo dogo wa rombo nayekaibuka na dawa
   
Loading...