Mimi naomba niongee jambo moja, dini na siasa ni vitu viwili tofauti. Huyu mh, hana upako, mtu mwenye hofu ya mungu huwezi kuwaita wenzako wauwaji, yeye kanisani kwake anaubaguzi mkubwa, kwani iliakuombee mwisho wa ibada lazima uwe ns elfu kumi mkononi, na mkaguzi wake hadi aione ndiyo upande kwenye madhabau akuwekee mikono. Hiyo siyo haki. Huduma hile inabidi atoe bule, otherwise atuambie kainunua nigeria. Na alikuwa swahiba wa shehk yahaya, naona anainyemelea kiaina ile nafasi ya utabiri aliyo kuwa anaifanya pale magogoni. Huyo ni longolongo. Kama kweli yeye anaupako! Aende muhimbili akawaombee wale wagonjwa wanao kufa kwakukosa msaada wa madaktari. Mwanasiasa wa dini huyu.