Mzee wa uda nae alikuwepo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa uda nae alikuwepo!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by BASIASI, Aug 15, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  MZEE WA UDA NAE ALIKUWEPO KUSHEREHEKEA MILION 200 WALIZOGAWANA HII NCHI HII??
  [​IMG]
   
 2. k

  kingjitu Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 24, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mkuu hapo unaenda mbali...ukumbuke Rais ni binadamu kama wewe ana imani yake na wageni wake, na sherehe zake, kama misingi ya sheria inamruhusu kufanya hayo..kuna tatizo gani?
   
 3. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu Matola; heshima mbele. Hili kauli yako juu ya futari bora uiondoe kwani unawakwaza wengi, kama ni chuki dhidi ya ****** chagua lingine, mbona skandali ziko nyingi?
   
 4. n

  nndondo JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Huyu masaburi ni wa ajabu sana, ameacha mdahali dakika ya mwisho kwa kukimbilia kula futari wakati hata kufunga hajafunga, MLAFI wa hali ya juu na ndio maana hata haya mambo yanatokea, hivi na huko ikulu kuna maofisa wa namna gani wasioweza kujua mipango ya nchi wanakurupuka, huku wakiijua wazi watendaji wa JK ni wapumbavu na vilaza wakubwa. kwani kwa kuwa wanamjua masaburi mlafi wasimtoe kwenye list ya waalikwa maana tangazo lilishakua limetoka wiki nzima shit hawa watu tuwaondoke madarakani mapema iwezekanavyo. wananchi wa dar huyu masaburi hatufai kabisa ni wizi wizi wizi tangu wa kura mpaka leo hii kauza shirika letu tumpige vita kwa kila namna.
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sasa anacheka nini huyo Masaburi???
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,012
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  anafurahi, akijiona uchafu wake yeye na wa mkubwa wake aliyesimama, uchafu wake ni kama sisimizi na wa mkubwa wake ni kama tembo. So hakuna atakayemgusa!!
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  anafutali na mkuu wa kaya halafu kapata zali la kuingia na kula kwenye kota yetu ya magogoni..
  so lazima achekecheke tu...
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadhani wewe shida ya ni huko kufuturu tu...........Ingekuwa kitimoto na mbege usingekuwa na shida yeyote.....
  Slaa anakuja itakuwa FULL kitimoto na Mbege kila kona!
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,045
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Maskini Tz,sijui kama tutafika.
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,147
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  ndo maisha yalivyo
   
 11. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mkuu, kufuturisha sio issue kwani hata mwalimu nyerere alikuwa anafuturisha raia kama kawaida, tatizo ni kwamba rais wa sasa hagongi point za ukweli zaidi ndio maana unaonekana kumchukia, ila kufuturisha sio issue, tatizo lake ni kwamba mambo kama hayo ndio yanamchukulia muda mwingi zaidi kuliko mambo ya msingi ya kitaifa.
   
 12. k

  kautipe Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waungwana tunapochangia, tusibeze imani za watu kwa kosa la mmoja. Mimi ni Mkristo, lakini naheshimu sana imani za wengine kwa kuwa ndio uungwana. Changia ubaya ama dosari za kikwete na sio kuingiza imani yake kuifanya iwe mbaya kama unavyodhani mhusika ni mbaya
   
 13. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...