Matatizo ya kumkabidhi mswahili nchi ndio haya, ikulu imeshageuzwa kuwa ya futari kila siku. hizi pesa tunakamuliwa sisi kodi kwa ajili ya kufuturisha watu kila siku.
Matatizo ya kumkabidhi mswahili nchi ndio haya, ikulu imeshageuzwa kuwa ya futari kila siku. hizi pesa tunakamuliwa sisi kodi kwa ajili ya kufuturisha watu kila siku.
Sasa anacheka nini huyo Masaburi???
<br />Sasa anacheka nini huyo Masaburi???
Nadhani wewe shida ya ni huko kufuturu tu...........Ingekuwa kitimoto na mbege usingekuwa na shida yeyote.....Matatizo ya kumkabidhi mswahili nchi ndio haya, ikulu imeshageuzwa kuwa ya futari kila siku. hizi pesa tunakamuliwa sisi kodi kwa ajili ya kufuturisha watu kila siku.
ndo maisha yalivyoMZEE WA UDA NAE ALIKUWEPO KUSHEREHEKEA MILION 200 WALIZOGAWANA HII NCHI HII??
![]()
Matatizo ya kumkabidhi mswahili nchi ndio haya, ikulu imeshageuzwa kuwa ya futari kila siku. hizi pesa tunakamuliwa sisi kodi kwa ajili ya kufuturisha watu kila siku.
Wewe lazima ni CHADEMA, maana mnauchukia sana Uislaam zaidi ya Kikwete na chuki yenu kubwa ni kwa dini yake na si kwa utendaji wake. Kama ni utendaji basi katenda kuliko Rais yoyote wa Tanzania na data hazifichi hilo. Tafuta jingine.[/QUOTE
]
KIKAZI KIMEPOTEA. UNAKOSOA NINI NA UNAFANYA NINI.. KWANINI NDUGU TUNATOFAUTIANA KWA DILI TULIZOLETEWA. TENA WALIKUJA NA KUTUNYONYA. Waafrika tuna matatizo makubwa sana, Tunakuwa maadau kwa sababu ya imani. TUNASHINDWA KUTUMIA AKILI KUFIKIRI KWA SABABU YA IMANI. tuanachagua viongozi kwa kutumia udini kuliko uwezo kwa kuongoza. KILA SIKU TUNALALAMIKA NA KULALAMIKIA DINI NYINGINE.. amkeni vijana