mzee wa swaga!

Ooyooo huyu jamaa inavo onisha hata akienda kujisaidia mswalani tena kwa masafa makubwa huwa anaenda nayo na huyu inaonesha ni mwanachama halisi wa pungi pungi na hasa kwa hawa vijana wa kileo
 
Hapo kwa kweli sijui kama hicho chakula kitakuwa salama wakati muzki utakapokolea.
 
magonjwa mengine sio mpaka ulazwe jamani huu ni ugonjwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…