Mzee wa Punch to be back UDSM

Mzee wa Punch to be back UDSM

New2JF

Senior Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
123
Reaction score
27
Tunatangaza kurudi kwa Mzee wa Punch UDSM SOON. Salam kwa wanaomkumbuka.
 
Jamani Jaman Jaman du mbona mtawachanganya vichwa watawala hawa jamani si ndio Taifa litayumba kabisa na Captain atapata wakati mgumu sana na kukosa mwelekeo ngalawa aichelei kwenda mlama hii ndiyo maaumivu ya kichwa uanza mara moja.
 
Mzee wa Punch inafahamika walikuwa ni watu wa Usalama wa Taifa, sasa kwa vile sasa hivi taasisi hiyo imekufa na kuwa Usalama wa Watawala haiwezi tena kutoa Puch kama zamani.
 
a good move, do it quickly but mind you of the vikaragosi kibao vilivyopandikizwa na watawala. we missed mzee
 
Who is mzee wa Punch!

here are the ten commandments of MZEE:

  1. you shall not antilog in cafeteria
  2. you shall not sit on Mzee's table
  3. Female students shll not attend evining tea
  4. you shall not wear malapa, bukta, kanzu, msuli or vibana mavi in cafeteria
  5. Female students shall not entertain men from town
  6. Male students shall not import KCC
  7. you shall not vie for maksi za chupi & you shall avoid Uh++
  8. You shall always attend and support kunji
  9. You shall be aware of FRUMO&CHUA KACHARA and stone them to death if they betray your moves
  10. You shall not try to find or research who Mzee is, Seeng MZEE is seeing death.
 
kudadadeki
 
Hebu bandika hapa na zile chata zake: nakumbuka mmoja ulikuwa na picha ya eagle na nyingine ilikuwa alama ya Danger iwekwayo kwenye vitu cya hatari, nitawaletea moja baadae.
here are the ten commandments of MZEE:

  1. you shall not antilog in cafeteria
  2. you shall not sit on Mzee's table
  3. Female students shll not attend evining tea
  4. you shall not wear malapa, bukta, kanzu, msuli or vibana mavi in cafeteria
  5. Female students shall not entertain men from town
  6. Male students shall not import KCC
  7. you shall not vie for maksi za chupi & you shall avoid Uh++
  8. You shall always attend and support kunji
  9. You shall be aware of FRUMO&CHUA KACHARA and stone them to death if they betray your moves
  10. You shall not try to find or research who Mzee is, Seeng MZEE is seeing death.
 
Mzee wa Punch inafahamika walikuwa ni watu wa Usalama wa Taifa, sasa kwa vile sasa hivi taasisi hiyo imekufa na kuwa Usalama wa Watawala haiwezi tena kutoa Puch kama zamani.

Si kweli Mkuu.
 
Tunatangaza kurudi kwa Mzee wa Punch UDSM SOON. Salam kwa wanaomkumbuka.
Ninavyoelewa sheria za Punch, huwa hatangazi kurudi wala kuwepo. Anajitokeza na watu wanatambua uwepo wake. Sasa nyie mnaotangaza mtakuwa "Punch-fakes". Mzee Punch does not need this!!
 
Tunatangaza kurudi kwa Mzee wa Punch UDSM SOON. Salam kwa wanaomkumbuka.

Punch ina mchango gani kwny Taifa linaloteketea namna hii, unadhani itasaidia katika mfumko wa bei,
Umekosea nadhani hii ilikuwa ni ya kule faisibuku!!
 
nilijua watu kama nyie lazima mje.kama unawazo jipya kuhusu uchumi wetu nenda jukwaa usika.usitubugudhi!
 
Ni lazima tuwepo,
U-Yes man haupo hapa lete hoja yenye kudadavua na kumsaidia mmtanzania.
Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom