Mzee wa magumashi huyu apa

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Babu mmoja alikuwa na wajukuu zake barazani anawapa stori za ujana wakee
Babu: Wajukuu zangu wakati wa ujana wangu nilitembelea karibuni nchi zote
Wajukuu: Ulitembelea “kikazi” au?
Babu: Hapana sikuwahi kufika kikazi kwa kuwa ilikuwa haijapata uhuru, lakini ilipopata uhuru niliitwa niende nikakataa
 
Unanikumbusha kuna mzee m1 naye walimuuliza mikoa ya tz unaijua akasema ndio..
wakamuuliza vip arusha, tanga, mbeya umefika akasema aah.. Hapo sehemu zote nimepita wakamuuliza je? Georgraphia yake uliionaje? Akadandia hata huko geografia nimefika si ndo niliko zalia huyo juma..

akawaacha midomo waz
 
Hii iko poa kabisa Mkuu.
Hiyo ya chini imerudiwa humu mara kibao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…