Mzee wa kutabiri

amiride

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
200
37
Jamaa kaenda kwa mganga wa kienyeji akaomba afundishwe na yeye kutabiri. Mganga akamwambia kama unataka kujuwa kutabiri kesho uje na kikopo cha vaseline.
Siku ya pili jamaa katinga na kikopo chake cha vaseline, Mganga akamwambia avue nguo halafu ainame, jamaa akafanya kama alivyoamriwa,alivyoinama mganga akachukuwa ile vaseline akampaka jamaa matakoni, jamaa akastuka akamuuliza mganga wataka unifire nini, mganga akamjibu kama umelijuwa hilo ushajuwa KUTABIRI
 
lol! jamani nimeanza kutabasamu hapa ofisini wakaniuliza unacheka na nani nikaangua kicheko kikubwa uwii mbavu zangu yaani raha jipe mwenyewe kwa kusoma jamii forum udaku

mtaka cha uvunguni sharti ainame na huyo mtaka kutabiri sharti ufundishwe kubashiri mambo lol sina ham miye nina masham sham.
 
Jamaa kaenda kwa mganga wa kienyeji akaomba afundishwe na yeye kutabiri. Mganga akamwambia kama unataka kujuwa kutabiri kesho uje na kikopo cha vaseline.
Siku ya pili jamaa katinga na kikopo chake cha vaseline, Mganga akamwambia avue nguo halafu ainame, jamaa akafanya kama alivyoamriwa,alivyoinama mganga akachukuwa ile vaseline akampaka jamaa matakoni, jamaa akastuka akamuuliza mganga wataka unifire nini, mganga akamjibu kama umelijuwa hilo ushajuwa KUTABIRI

Huu ni ukameruni ulojificha
 
Back
Top Bottom