mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Mkuu sisi huku tunajua mapenzi tu, nenda jukwaa la uchumi
[emoji3]Kwa kua umeomba ushauri wabiashara kwenye jukwaa la mapenzi nakushauri fungua danguro...
Ha ha ha aaFungua kanisa huko mkuu,
Uanze kuitwa baba mchungaji.
Inalipa sana hasa ukipata sehemu yenye muingiliano wa watu.
Kama inalipa hongaBasi itabidi nihonge tu mtaji wangu
[emoji23][emoji23]Kwa kua umeomba ushauri wabiashara kwenye jukwaa la mapenzi nakushauri fungua danguro...
Aisee!!!Majibu ya humu...
afu awe ''pimp''Kwa kua umeomba ushauri wabiashara kwenye jukwaa la mapenzi nakushauri fungua danguro...
Mkuu sisi huku tunajua mapenzi tu, nenda jukwaa la uchumi
Kwa kua umeomba ushauri wabiashara kwenye jukwaa la mapenzi nakushauri fungua danguro...
Fungua duka la kondom samabaza mpaka guest
Mtoa mada akifuata huu ushauri wenu atakuwa kwenye uchumi wa kati kwa muda mfupi tu.Fungua Bar halafu ajiri ma barmaid wenye matako makubwa