Mzee wa kabao kadogo yuko wapi???

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Hivi yule jamaa aliyeanzisha thread akiuliza kabao kadogo (hakajai kijiko cha chai) kama kanasababisha mimba akahisi anauziwa mbuzi kwenye gunia yuko wapi???? Actually alinifanya daily niwe naingia JF kucheck updates.... sijamsikia tena yuko wapi???????
 

Hahahahha naww imewahi kukutokea?
 
Nokia83 jamaa alifanya nicheke mbele ya watu. ..... Bulldog anajipanga nn??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…