Mzee Victor Kimesera: Mzee Ndesamburo aliiwezesha CHADEMA kununua ofisi ya makao makuu

tatizo hata hilo Banda CCM hamna.Majengo yote ya CCM mlikwapua toka serikalini.
Acheni kujidanganya, makao makuu yawananchi pale Dodoma? Jengo la Upanga? Tena jipya kabisa, umoja wa vijana wa CCM? Huo ni mfano tu hiyo nyumba mnayoiita makao makuu hata mkimpa Mnyika aishi pale hawezi, ndiyo maana Lowasa amekataa kukanyaga pale.
 
Victor Kimesera nakumbuka zamani CHADEMA inaanzishwa vikao vingi vilikaa nyumbani kwake Oysetrbay kule Msasani Road. Enzi za kina Bob Makani, Victor Kimesera, Ndesamburo etc.

Hapo watu hawajajua kwamba CHADEMA kitakuwa chama kikubwa bado, chama kilichovuma ni NCCR.

Leo hii kuna wanachama na washabiki wa CHADEMA hata hawamjui Mzee Kimesera.

R.I.P Ndesamburo. You have earned a place in the history books.
 
Mwaka jana si mliletewa notes ya pango? Imelipiwa lini? By the way hata kama kumnunua hilo si banda kabisa? Nyumba ya national housing imejengwa 1964 tena uchochoroni kwa mateja?
Mkuu huyu mzee kafungua Pandora Box. Tatizo Waandishi wetu wengi wa habari makanjanja saa hii wangeenda kuuliza hilo swali mbowe au mashinji ajibu. Wakisema jengo lao wangehoji mbona mnadaiwa kodi? Wakisema lao wangeenda kuangalia ripoti za fedha za chadema kwa msajili wa vyama na walizokaguliwa na CAG kwa CAG kuona kama hizo hesabu hazina kodi Ya pango la hilo jengo. Inawezekana pesa zinaliwa na wajanja. Waandishi wa habari amkeni fuatilieni hili mauzo ya magazeti yenu yaweza Panda juu sana na CV za mwandishi zikapanda akawindwa hadi na BBC CNN nk kuwa ni mahiri. Tenda hiyo kazi kwenu Waandishi
 
Victor Kimesera nakumbuka zamani CHADEMA inaanzishwa vikao vingi vilikaa nyumbani kwake Oysetrbay kule Msasani Road. Enzi za kina Bob Makani, Victor Kimesera, Ndesamburo etc.

Hapo watu hawajajua kwamba CHADEMA kitakuwa chama kikubwa bado, chama kilichovuma ni NCCR.

Leo hii kuna wanachama na washabiki wa CHADEMA hata hawamjui Mzee Kimesera.

R.I.P Ndesamburo. You have earned a place in the history books.
Labda nikwambie kitu wachaga kuna tatizo mahali. Chadema ilivyoanza ilikuwa na nguvu kuliko NCCR wachaga wakajaa Chadema. aliyekuja kuidhoofisha chadema ni agustino lyatonga mrema mchaga mwenzao alipofukuzwa uwaziri akajiunga na upinzani aligoma kujiunga chadema akaenda NCCR mageuzi kule akapewa Kugombea uraisi wachaga wakalewa wakasema mchaga mwenzetu maarufu anagombea uraisi tukamuunge mkono wakaondoka chadema wakaenda NCCR mageuzi wakambwagia chadema mtei na mbowe wake wajijue. uchaguzi ulipokuja akashindwa na akahama chama kwenda TLP baada ya kufanyiziwa na akina marando aliowakuta. Wachaga waliomfuata wakaona waungame dhambi warudi kwa Mzee mtei walikotoka kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha waliporudi chadema iliyokuwa imedorora ikapata nguvu tena .lakini kutoka mwanzo chadema ilikuwa na nguvu hasa Ya kipesa
 
Acheni kujidanganya, makao makuu yawananchi pale Dodoma? Jengo la Upanga? Tena jipya kabisa, umoja wa vijana wa CCM? Huo ni mfano tu hiyo nyumba mnayoiita makao makuu hata mkimpa Mnyika aishi pale hawezi, ndiyo maana Lowasa amekataa kukanyaga pale.

Viwanda vyote vya CCM ni assets zilizpkuwa Mali ya Serikali, wametumwa dhana ya chama kushika hatamu kupora Mali za Serikali.

Wakati wanajenga majengo ilikuwa ofisi za chama na Serikali.

Mpaka Sasa CCM hamna ofisi mlizojenga kwa pesa zenu zaidi ya majengo na viwanja mlivyokwapua serikalini
 
Labda nikwambie kitu wachaga kuna tatizo mahali. Chadema ilivyoanza ilikuwa na nguvu kuliko NCCR wachaga wakajaa Chadema. aliyekuja kuidhoofisha chadema ni agustino lyatonga mrema mchaga mwenzao alipofukuzwa uwaziri akajiunga na upinzani aligoma kujiunga chadema akaenda NCCR mageuzi kule akapewa Kugombea uraisi wachaga wakalewa wakasema mchaga mwenzetu maarufu anagombea uraisi tukamuunge mkono wakaondoka chadema wakaenda NCCR mageuzi wakambwagia chadema mtei na mbowe wake wajijue. uchaguzi ulipokuja akashindwa na akahama chama kwenda TLP baada ya kufanyiziwa na akina marando aliowakuta. Wachaga waliomfuata wakaona waungame dhambi warudi kwa Mzee mtei walikotoka kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha waliporudi chadema iliyokuwa imedorora ikapata nguvu tena .lakini kutoka mwanzo chadema ilikuwa na nguvu hasa Ya kipesa

Jinsi ulivyomuongo hebu rudia post yako hata ulichoandika hakielewki.Mrema hakuwahi kuwa Mwanachama wa Chadema.Pole sana.

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
 
Wapi nimeandika kuwa mrema alikuwa mwanachama wa chadema?
 
Labda nikwambie kitu wachaga kuna tatizo mahali. Chadema ilivyoanza ilikuwa na nguvu kuliko NCCR wachaga wakajaa Chadema. aliyekuja kuidhoofisha chadema ni agustino lyatonga mrema mchaga mwenzao alipofukuzwa uwaziri akajiunga na upinzani aligoma kujiunga chadema akaenda NCCR mageuzi kule akapewa Kugombea uraisi wachaga wakalewa wakasema mchaga mwenzetu maarufu anagombea uraisi tukamuunge mkono wakaondoka chadema wakaenda NCCR mageuzi wakambwagia chadema mtei na mbowe wake wajijue. uchaguzi ulipokuja akashindwa na akahama chama kwenda TLP baada ya kufanyiziwa na akina marando aliowakuta. Wachaga waliomfuata wakaona waungame dhambi warudi kwa Mzee mtei walikotoka kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha waliporudi chadema iliyokuwa imedorora ikapata nguvu tena .lakini kutoka mwanzo chadema ilikuwa na nguvu hasa Ya kipesa
Unavyosema CHADEMA ilivyoanza ilikuwa na nguvu kuliko NCCR unaongelea mwaka gani?

Details please.
 
Nccr ilikuwa very weak ilipata nguvu baada ya mrema kuingia na matajiri wa chadema kuondoka kumfuata ndippo NCCR ikapata nguvu kuliko chadema Na kupata wabunge wengi na madiwani. Alipoondoka mrema hata marando mwanzilishi wa NCCR akatimuka akabwaga chama baada ya kuona siasa NCCR haitalipa tena akawafuata makundi Ya matajiri wa kichaga waliorudi chadema na yeye akaenda na kule Mambo yake mazuri. Kokwa tupu lililobakia la NCCR ndipo Mbatia akaamua alibebe alichoambulia yeye ndie mbunge pekee wa NCCR mageuzi .NCCR kwisha habari yake
 
Mazee umeandika maneno mengi sana ambayo sijauliza.

Lakini mimi nimeuliza swali ambalo ungeweza kulijibu kwa tarakimu nne tu, mwaka.

Au kama hujui ungesema tu sijui.

Hujajibu uliloulizwa,uliyojibu hujaulizwa.

Kama ni swali la mtihani umepata BIG FAIL.

Umeulizwa "Vita vya Maji Maji Vilianza Mwaka Gani?".

Unajibu unajua Kinjelkitile Ngwale ndiye alikuwa kiongozi aliyewaunganisha watu siku zile akawambia wakipigana risasi zitageuka Maji na ndiyo maana vita ikaitwa Maji Maji etc etc".

Mwaka gani?

Hujajibu!
 
NCCR-Mageuzi 1992_pro.jpg
Eric Mchatta alipotelea wapi na ARIESA yake? Ni miongoni mwa waasisi wa Chadema pia. Aidha kati ya mwaka 1992 na 1996 FNS ikiongozwa na mkurugenzi mkazi wake, Bwn. Spett, walitoa pesa nyingi sana (mamiioni ya shilingi) kukisaidia Chadema. Ni bahati mbaya kuwa Uongozi wa Chadema wakati huo ulikuwa ukimpelekea taarifa za uongo mfadhili wao, kwamba wanaungwa mkono na takribani nusu ya Watanzania. Matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 1995 ulimfanya kuwa disillusioned na Chadema kisha alinawa na kuachana nao. Sehemu kubwa ya pesa hiyo walikula akina Walid Kabourou, Eric Mchatta na wasaidizi wao akina Kaoneka. Enzi hizo, akina Kaoneka (msimaizi wa ofisi) ndio waliokuwa wakitumwa kuhutubia mikutano kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa kila mkutano. Akina Mzee Mtei (Mwenyekiti wakati huo), Bob Nyanda Makani (Makamu Mwenyekiti - apumzike kwa amani) hawakuwa wakihutubia mikutano labda kama kulikuwa na matukio makubwa ya akitaifa (kufanya political showcasing). Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa vijana wa Chadema akiwa na Katibu Mkuu (v) Dr. Kifai. Tunajua mengi ya kuandika. Hii yote sasa imebaki ni historia.
 
Victor Kimesera ni Mmasai aliyejua umuhimu wa Upinzani katika nchi hii kabla ya Lowassa

R.I.P Ndesamburo
 
Kuna kitu haweki wazi huyu mzee kuwa pesa walizokuwa wakichanga hao wafanyabiashara waliojificha zilikuwa zinaenda kwa ndesamburo sio hizo tu bali na zile za kutoka nje ya nchi kwa Wafadhili walioficha nyuso zao na agenda zao. Zikifika kwa ndesa anazitakatisha na kuwapa chadema akisingizia zinatoka kwenye biashara zake. Wakati ule sheria za utakatishaji pesa zilikuwa bado mwanya huo ukatumika. Yeye alikuwa bomba la kupitishia hela anapokea huku halafu anatoa mkono huku akifanya kuwa yeye tajiri anatoa pesa zake kumbe zimo za akina mtei, lowasa, sumaye nk
Mwongo njia yake bwana .....hao kina Lowassa na Sumaye unaosema umesahau kuwa wamejiunga chadema mwaka 2015 ....
Kimsingi chadema kilianzishwa na wale waliokuwa na mrengo wa kibepari ,asili yake ni wasomi na wafanyabishara ambao walikuwa wanatofautiana sera na Mwalimu ukianzia kwa watu kama Mtei ambaye ushauri wake wa kurekebisha sarafu na uchumi ulikataliwa [japo badaye waliufuata ikiwa too late ],Kina BOB MAKANI ,Brown Ngwilulupi,Balozi Mwasakafyuka ,Mama Kabigi..etc ...hawa ni watu waliokuwa na uwezo kipesa kwa standard ya wakati huo ...ndio maana walipokuwa wanazunguka na magari yao yakawa yanaonekana ni ya chama
Mwalimu kati ya vyama vyote vya upinzani chama pekee alichoweza kukiona tishio na kusifia sera zake ni CHADEMA .
 
Eric Mchatta alipotelea wapi na ARIESA yake? Ni miongoni mwa waasisi wa Chadema pia. Aidha kati ya mwaka 1992 na 1996 FNS ikiongozwa na mkurugenzi mkazi wake, Bwn. Spett, walitoa pesa nyingi sana (mamiioni ya shilingi) kukisaidia Chadema. Ni bahati mbaya kuwa Uongozi wa Chadema wakati huo ulikuwa ukimpelekea taarifa za uongo mfadhili wao, kwamba wanaungwa mkono na takribani nusu ya Watanzania. Matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 1995 ulimfanya kuwa disillusioned na Chadema kisha alinawa na kuachana nao. Sehemu kubwa ya pesa hiyo walikula akina Walid Kabourou, Eric Mchatta na wasaidizi wao akina Kaoneka. Enzi hizo, akina Kaoneka (msimaizi wa ofisi) ndio waliokuwa wakitumwa kuhutubia mikutano kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa kila mkutano. Akina Mzee Mtei (Mwenyekiti wakati huo), Bob Nyanda Makani (Makamu Mwenyekiti - apumzike kwa amani) hawakuwa wakihutubia mikutano labda kama kulikuwa na matukio makubwa ya akitaifa (kufanya political showcasing). Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa vijana wa Chadema akiwa na Katibu Mkuu (v) Dr. Kifai. Tunajua mengi ya kuandika. Hii yote sasa imebaki ni historia.

Tatizo la makani na mtei hawakuwa typical politicians bali walikuwa wataalamu..technocrats ...,ndio maana walifanikiwa kuandika sera nzuri sana ,lakini wao wawili walikuwa na ugumu sana wa kujieleza jukwaani wakaeleweka ....,unajua kuna watu aina hiyo wenye akili sana lakini hawawezi kujieleza
Mfano Makani pale SHINYANGA alijitajidi sana pamoja na kuwa walikuwa hawamuelewi
 
Mwongo njia yake bwana .....hao kina Lowassa na Sumaye unaosema umesahau kuwa wamejiunga chadema mwaka 2015 ....
Kimsingi chadema kilianzishwa na wale waliokuwa na mrengo wa kibepari ,asili yake ni wasomi na wafanyabishara ambao walikuwa wanatofautiana sera na Mwalimu ukianzia kwa watu kama Mtei ambaye ushauri wake wa kurekebisha sarafu na uchumi ulikataliwa [japo badaye waliufuata ikiwa too late ],Kina BOB MAKANI ,Brown Ngwilulupi,Balozi Mwasakafyuka ,Mama Kabigi..etc ...hawa ni watu waliokuwa na uwezo kipesa kwa standard ya wakati huo ...ndio maana walipokuwa wanazunguka na magari yao yakawa yanaonekana ni ya chama
Mwalimu kati ya vyama vyote vya upinzani chama pekee alichoweza kukiona tishio na kusifia sera zake ni CHADEMA .

Hauko mbali na ukweli. CHADEMA kilianzishwa na Benki ya Dunia, na wakamtumia mzee Mtei. Sababu unazijua.
 
Ni bahati mbaya kuwa historia ya mageuzi ya vyama vingi hapa nchini bado haijaandikwa, na pengine haitaandikwa. Waliostahili kuandika hawakuweza kufanya hivyo kiasi kuwa sasa wapotoshaji wanapata mwanya wa kupotosha. Chama kilichokuwa na nguvu ya wasomi na wananchi wa kawaida tangu kuanzishwa kwake hadi 1997 ni NCCR Mageuzi. Kwa wasiojua hata Katiba ya Chadema, Mzee Mtei alifanya copy and paste ya Katiba na lilokuwa andiko la sera la NCCR - Mageuzi na kisha kupata jina pamoja na Katiba ya chama chake. Historia ni ndefu. Kunako majaliwa tutaweza kuandika historia hii. Muda mfupi ujao nitawawekea kadi za awali za NCCR-Mageuzi zilizotengenezwa Harare, Zimbabwe mwaka 1992. Katika picha hiyo hapo juu angalia kuona jina la Cha[dema] lilikopakuliwa; katikati ya logo ya NCCR kwenye cover ya kadi ya Chama Cha NCCR Mageuzi
NCCR-Mageuzi 1992_pro.jpg
.
 
Acheni kujidanganya, makao makuu yawananchi pale Dodoma? Jengo la Upanga? Tena jipya kabisa, umoja wa vijana wa CCM? Huo ni mfano tu hiyo nyumba mnayoiita makao makuu hata mkimpa Mnyika aishi pale hawezi, ndiyo maana Lowasa amekataa kukanyaga pale.

Nyerere ndio aliiachia ccm majengo yake kwa asilimia 100% baada ya kuwa wamepata uhuru wakiwa kwenye banda la tope lililonakishiwa kwa plaster [ndio LUMUMBA YA SASA ]....jengo jipya la makao makuu madogo ya ccm lilijengwa miaka kadhaa baada ya uhuru
sasa kama ccm waliweza kumudu kuwa na jengo imara baada ya uhuru ,huwezi kuwahukumu wapinzani kwa kutokuwa na ofisi za kifahari wakati pesa yao wanaitumia kufanya uenezi[sturuggle]

Majengo yote ambayo ccm inamiliki leo yanayopendeza imeyakodisha kwa mikataba ya hadi miaka 50 na hakuna wanachopata cha maana ....mfano kwa jengo la uvccm ,ccm hawajabakiwa na eneo la maaana ...pesa nyingi anayo muwekezaji..
Jengo la upanga la gorofa zaidi ya 12 ...ccm hawamiliki zaidi ya floor 2 pale ambazo pesa nazo zinaishia kwa wachache ......,Jengo lenyewe la makao makuu ya ccm Lumumba kama sio kelele za watu kama sisi tayari HOME SHOPPING [SILENT OCEAN] alishalibomoa na kutaka kujenga jengo pale ...watu walivyoshtuka akalikarabati kwa muonekano wa awali lakini kiwanja cha pembeni na CCM LUMUMBA akawa ashakinyakua ..mifano ni mingi ndio maana unaona Magufuli analalamikia mali za ccm
Kiwanja cha ccm kisutu ...kinana amekiuza , na mifano ni mingi !!
 
Back
Top Bottom