Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
David beckamp kipindi hicho akiwa mchezaji wa man u aliingia supermaket moja huko london na akaamuru milango yote ifungwe na watu waliopo ndani wachague vitu beckmp atawalipia na waliopo nje wasiingie ndipo yule mzee akasema beckamp ni nani mbona mimi simfahamu embu kwanza fungueni hiyo milango beckamp akamwambia mzee unaifahamu manchester united ndiyo naifahamu mimi naitwa David beckamp ni mchezaji wa man u mzee:hapana mimi sikufahamu hata mechi ya juzi niliangali rio fredinand alifunga beckamp:lakn mzee mimi ndiyo niliunganisha ile cros akafunga
Mzee:nasema kijana sikufahamu mtakuitia polisi sasa ivi
amakweli huyu mzee aliyekuwa anamfahamu vizuri beckamp lakin aliamua tu kumuonyeshea kuwa yeye ni noma zaidi hii ni story ya kweli kabisa
Mzee:nasema kijana sikufahamu mtakuitia polisi sasa ivi
amakweli huyu mzee aliyekuwa anamfahamu vizuri beckamp lakin aliamua tu kumuonyeshea kuwa yeye ni noma zaidi hii ni story ya kweli kabisa