Walienda kuuza code hao kwa mabwana zaoNaomba aulizwe tena huyu mzee Sumaye kwamba "hizo faida tayari zimekwisha patikana, mbona asharejea ccm,?
Sumaye na Majawaliwa hawana mvuto wa kisiasa hata kidogoNaomba aulizwe tena huyu mzee Sumaye kwamba "hizo faida tayari zimekwisha patikana, mbona asharejea ccm,?
stupid malaya wa kisiasa"Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna muda utafika Taifa lazima lingehitaji mabadiliko! Niliwaambia CCM kuwa mimi kuhamia upinzani ilikuwa ni kwa faida yao" -
Maneno ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye akihojiwa na Radio Clouds FM leo.
hana lolote huyo fisadi ndo maana alitukanwa na mkapa kwa huo ujinga.alijua kabisa anaenda kubanwa na JPM kwa kujilimbikizia mali isiyo halali.akakimbia ccm kutafuta unafuu huko cdm.hawa jamaa walishastaafu huwa wanaongea ongea sana lkn wakati wako madarakani walijiona ni miungu mtu.wapuuzeni hawa wajinga."Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna muda utafika Taifa lazima lingehitaji mabadiliko! Niliwaambia CCM kuwa mimi kuhamia upinzani ilikuwa ni kwa faida yao" -
Maneno ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye akihojiwa na Radio Clouds FM leo.
Ovyoo"Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna muda utafika Taifa lazima lingehitaji mabadiliko! Niliwaambia CCM kuwa mimi kuhamia upinzani ilikuwa ni kwa faida yao" -
Maneno ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye akihojiwa na Radio Clouds FM leo.
Ili kula na itaendelea kula kwenuOvyoo