Mzee Sumaye karibu nyumbani, karibu sana CCM, kumenoga kweli, jiondoe huko kwenye siasa-biashara za watu hizi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,649
20,988
Ni wakati sasa tena muafaka mzee wetu Frederick Sumaye akarudi nyumbani bhana, Ni hayo tu.

NB: Upo uwezekano mkubwa sana kwa CCM kuzoa viti vyote vya ubunge 2020, na upinzani kuambulia zero chairs, time shall tell. Rais wetu chapa kazi wananchi wanaona juhudi zako, upinzani hakuna kupata kiti cha ubunge hata kimoja 2020.
 
Unaongea utumbo, CCM kuna wa kumbishia Jiwe? kama anaweza kujitoa mahakama za kimataifa sembuse CCM ambako yoyo ni alpha na Omega.
Wewe sema jingine, CCM ni mali ya Jiwe na ndiyo maana ameivuruga kupunguza wajumbe wa vikao vyote vya CCM, au Umesahau>
 
Hao wajumbe walikuwa wanaigharimu sana CCM kibajeti,kuwapunguza ilikuwa ni hekima kubwa mno,hongera JPM,
SASA TUNAJENGA TAIFA IMARA,PLANI YA KUWAVIMBISHA NA KUWANENEPESHA <KUWAPATIA WATU PESA >KWA NJIA YA MANENO YA KUONGEA NA HADAA HAUPO.
 
Wewe utakuwa Lumumba per se! Hujui kwanini Jiwe alipunguza wajumbe? Unabaki na wachache unaoweza kuwamuda, tena wale MDABWADA!
 
Back
Top Bottom