Wewe no mmoja wa hayo mashetani?Anajua mkuu hata sasa ni kiongozi wa malaika waovu yaani mashetani
Uongo tu, wanateswa vipi?CCM inatesa wapinzani ili wairudie, wamesahau kuwa upinzani ni akili sio mwili
Hivi mpaka leo hujajua Mbowe ni mbinafsi..khaaaaaa....uliza kwanza demokrasia ndani ya chama ipo au haipo..ndani ya chama marufuku kuhoji matumizi yoyote..marufuku kumhoji mwenyekiti na mwenyekiti ni wa milele...hakuna kupambana nae kwenye kura..uliza chacha wangwe, Zitto, mwigamba, mkumbo..wakina Waitara, Mollel..na wengi wengi"Mmeamkaje? Kwangu mambo siyo mazuri. Mtakumbuka baada tu ya kuingia upinzani serikali ilitishia muda mrefu kuchukua mashamba yangu bila sababu za msingi, hata wakati wa kampeni baadhi ya viongoz wa ccm walitamka hadharani kuwa huyu dawa yake ni kumnyang'anya mashamba yake. Shamba la mabwepande ekari 33 wameagiza wiki hii halmashauri iligawe kwa wavamizi na wengineo.
Jana nimepokea barua kuwa shamba la mvomero ekari 326 limetwaliwa na rais na sitakiwa kukanyaga hapo. Shamba hilo lina majengo, mazao, mashine mbali mbali, visima virefu vya maji, umeme na mifugo mchanganyiko zaidi ya 200. Kisingizio shamba halijaendelezwa! Shamba lenye vitu vyote hivyo halijaendelezwa??
Mbaya zaidi katika kupinga dhamira hizo nilifungua kesi mahakama kuu kwa mashamba yote na mahakama zimeweka zuio la kutokuingiliwa mashamba hayo mpk mashauri ya msingi yatakapoamuliwa.
Lakini wameshaamua kwa hiyo mahakama hazina kazi. Utawala huu haufuati sheria ni udikteta mtupu! Kuna mwana ccm moja alisema "tutamfilisi mpk atakapotembelea ndala ndo atakumbuka kurudi ccm."
Hilo litawezekana kama Mungu huyu ni wa ccm. Ccm sirudi pamoja kuwa najua nitateseka na familia yangu! Kisasi hiki mimi sitakiweza namwachia Mungu ndiye atakayetufuta machozi mimi na familia yangu."
Fredrick Tluway Sumaye.
Waziri Mkuu Mstaafu
August 12, 2017
Note: Jana niligusia Kuhusu hujuma, dhuluma na madhila mbali mbali wanayopitia Viongozi na wanachama wa Upinzani. Nilieleza namna gani Viongozi wetu akiwamo Freeman Mbowe wanavyoteswa kwa namna mbali mbali kuanzia kwenye kuharibiwa au kunyang'anywa mali zao na hata kuwekwa gerezani.
Nilisema Unapoamua kuwa mpinzani Tanzania ni lazima kwanza ujikane nafsi yako kisha ujitwishe msalaba wako. Mbowe angekuwa ana roho ya ubinafsi ya kuangalia maslahi yake na familia yake leo angekuwa CCM.
Hebu leo TUJIKUMBUSHE kidogo na kutafakari DHULUMA ambazo amefanyiwa Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye tangu alipoondoka CCM na kujiunga na CHADEMA.
Jipeni moyo ulimwenguni mnayo dhiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo yakusumbua wapinzani wako kisiasa ni ushamba tu na hayawezi kutusaidia chochote kama nchi.sisi wote ni wapitaji tu na uongozi ni dhamana ya muda sasa kwanini umsumbue mpinzani wako.kama uwezo ni mdogo ni mdogo tu hata iweje.Utawala wa Kikwete ulikuwa wa Mpito tu watu wakajisahau wakadhan ile Ni Hali ya kudumu
Wakati wa Jk ilikuwa Kawaida kina Sabodo kwenda hadharan kutangaza kusaidia Chadema Na akitoka hapo Hakuna anaemuuliza wala kumpiga Buti
Akina Hans pope walijitokeza hadharan kusaidia Wapinzani na kuna Wafanyabiashara wakubwa tu wa Kihindi walijitokeza kusadia Chadema wakati wa awamu ya nne lakin Maisha yaliendelea bila usumbufu
Mbowe hakuguswa kabisa Kwenye Vitega Uchumi vyake Na wakati Mwingine alikuwa anapewa Tenda Za Serikal bila ya Shida
Mzee Hashim Rungwe anaweza kueleza vyema yaliyomkuta Kwenye Biashara zake Wakat wa Mzee Mkapa
Hizo shida zakuunga unga unazozileta hapa sidhani kama ni sehemu yake maana ukisema tuanze kufukua uozo ulioko uko kwenye chama chenu mtakimbilia kutumia nguvu kwavile wale jamaa wako upande wenu kwaiyo hebu ficha kidogo uozo wako.Hivi mpaka leo hujajua Mbowe ni mbinafsi..khaaaaaa....uliza kwanza demokrasia ndani ya chama ipo au haipo..ndani ya chama marufuku kuhoji matumizi yoyote..marufuku kumhoji mwenyekiti na mwenyekiti ni wa milele...hakuna kupambana nae kwenye kura..uliza chacha wangwe, Zitto, mwigamba, mkumbo..wakina Waitara, Mollel..na wengi wengi
Umesahau mabilioni aliyoyasafirisha Mbowee kwenda ughaibuni wakati mzee mamvi alivyotua tu chadema...unajua alilipwa kiasi gani...ile ilikuwa biashara mzee sio lelemama..inahitaji moyo mgumu kumpokea unayemwita fisadi..unaweza ua chama..na hataa hivyo kinaelekea kufa..
Lakini pia rejea ripoti ya CAG. Mabilioni mangapi hayajulikani yametumikaje ndani ya chama..CAG amegundua..unadhani nani kiongozi wa kuyatafuna kama sio mwenyekiti wako..hahahahahah mpaka leo hamna majibu..mmepiga kimyaaaa...mnasikilizia hisia za wananchi...shenzzz...! Mnatafuna ruzuku kama hamna akili nzuri...huu sio ubinafsi wa kupindukia...walau hayo mabilioni basi yangetumika kujengea ofisi lakini wapii..kwanza tumbo...huo sio ubinafsi...
We nini bana unataka kuporomoke maneno hapa mtaumbuka...hamjui mnalolisema...
Acha waendelee kuumia kama walivyowaumiza wengine!! Malipo ni hapahapa duniani. Acheni wapate Mungu atende hamjui maovu waliofanya Sumaye na Mbowe? Au mnajifanya kusahau naamini baada ya muda watajifunza!!"Mmeamkaje? Kwangu mambo siyo mazuri. Mtakumbuka baada tu ya kuingia upinzani serikali ilitishia muda mrefu kuchukua mashamba yangu bila sababu za msingi, hata wakati wa kampeni baadhi ya viongoz wa ccm walitamka hadharani kuwa huyu dawa yake ni kumnyang'anya mashamba yake. Shamba la mabwepande ekari 33 wameagiza wiki hii halmashauri iligawe kwa wavamizi na wengineo.
Jana nimepokea barua kuwa shamba la mvomero ekari 326 limetwaliwa na rais na sitakiwa kukanyaga hapo. Shamba hilo lina majengo, mazao, mashine mbali mbali, visima virefu vya maji, umeme na mifugo mchanganyiko zaidi ya 200. Kisingizio shamba halijaendelezwa! Shamba lenye vitu vyote hivyo halijaendelezwa??
Mbaya zaidi katika kupinga dhamira hizo nilifungua kesi mahakama kuu kwa mashamba yote na mahakama zimeweka zuio la kutokuingiliwa mashamba hayo mpk mashauri ya msingi yatakapoamuliwa.
Lakini wameshaamua kwa hiyo mahakama hazina kazi. Utawala huu haufuati sheria ni udikteta mtupu! Kuna mwana ccm moja alisema "tutamfilisi mpk atakapotembelea ndala ndo atakumbuka kurudi ccm."
Hilo litawezekana kama Mungu huyu ni wa ccm. Ccm sirudi pamoja kuwa najua nitateseka na familia yangu! Kisasi hiki mimi sitakiweza namwachia Mungu ndiye atakayetufuta machozi mimi na familia yangu."
Fredrick Tluway Sumaye.
Waziri Mkuu Mstaafu
August 12, 2017
Note: Jana niligusia Kuhusu hujuma, dhuluma na madhila mbali mbali wanayopitia Viongozi na wanachama wa Upinzani. Nilieleza namna gani Viongozi wetu akiwamo Freeman Mbowe wanavyoteswa kwa namna mbali mbali kuanzia kwenye kuharibiwa au kunyang'anywa mali zao na hata kuwekwa gerezani.
Nilisema Unapoamua kuwa mpinzani Tanzania ni lazima kwanza ujikane nafsi yako kisha ujitwishe msalaba wako. Mbowe angekuwa ana roho ya ubinafsi ya kuangalia maslahi yake na familia yake leo angekuwa CCM.
Hebu leo TUJIKUMBUSHE kidogo na kutafakari DHULUMA ambazo amefanyiwa Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye tangu alipoondoka CCM na kujiunga na CHADEMA.
Jipeni moyo ulimwenguni mnayo dhiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyapataje hayo mashamba?CCM inatesa wapinzani ili wairudie, wamesahau kuwa upinzani ni akili sio mwili
Wote hao uliowataja ni wezi isipokuwa Sabodo. Hivyo wanakula matunda ya wizi wao.Utawala wa Kikwete ulikuwa wa Mpito tu watu wakajisahau wakadhan ile Ni Hali ya kudumu
Wakati wa Jk ilikuwa Kawaida kina Sabodo kwenda hadharan kutangaza kusaidia Chadema Na akitoka hapo Hakuna anaemuuliza wala kumpiga Buti
Akina Hans pope walijitokeza hadharan kusaidia Wapinzani na kuna Wafanyabiashara wakubwa tu wa Kihindi walijitokeza kusadia Chadema wakati wa awamu ya nne lakin Maisha yaliendelea bila usumbufu
Mbowe hakuguswa kabisa Kwenye Vitega Uchumi vyake Na wakati Mwingine alikuwa anapewa Tenda Za Serikal bila ya Shida
Mzee Hashim Rungwe anaweza kueleza vyema yaliyomkuta Kwenye Biashara zake Wakat wa Mzee Mkapa
Utawala wa Kikwete ulikuwa wa Mpito tu watu wakajisahau wakadhan ile Ni Hali ya kudumu

Rostam kishachungulia Deal kamrudisha ili wapige vizuriEL karudi zake mapemaa
Fredrik ni mpinzani?CCM inatesa wapinzani ili wairudie, wamesahau kuwa upinzani ni akili sio mwili
Facts mkuu.Misheni Town huwa sana tabia ya kulalamika
Yupo hapo chadema kwa mpango maalum na akimaliza atarudi nyumbani
Yeye anatumika kama daraja kuwatisha wengne wasijaribu kuhama chama kwa maana wanajua wengi wanaweza kuhama
Hapo ni unafiki mtupu
Rubbish. 1.5 Trillion ziko wapi? Uwanja wa ndege Chattle unaojengwa kwa Tsh. 90 Billion, umeidhinishwa na nani??? Mnafiki mkubwa wewe. Shut up.Hivi mpaka leo hujajua Mbowe ni mbinafsi..khaaaaaa....uliza kwanza demokrasia ndani ya chama ipo au haipo..ndani ya chama marufuku kuhoji matumizi yoyote..marufuku kumhoji mwenyekiti na mwenyekiti ni wa milele...hakuna kupambana nae kwenye kura..uliza chacha wangwe, Zitto, mwigamba, mkumbo..wakina Waitara, Mollel..na wengi wengi