Ni kweli mkuu lakini nadhani mzee small tatizo halikuwa kujikimu ni ile dhana ya kuugua kwa muda mrefu. Si unajua tunaojitegemea ukilala basi hakuna kinachoingia. Ndiyo hoja yangu. Bado dhana ya kusaidiana wakati wa kuugua liko palepale. Sio kusaidiana kujikimu uzeeni. Mzee small alikuw anaomba msaada kwa vile aliugua muda mrefu sana.
Mwanzoni umekubali kwamba kuna somo la kujiandaa na bado sentensi yako ya mwisho inapinga. Hujiandai kuugua bali kwa jinsi ya kujikimu katika shida mbalimbali uzeeni ikiwemo kuugua.