Mzee small kuagwa leaders:???

Mzee small kuagwa leaders:???

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,879
Hili swali nimekuwa nikijiuliza
iweje hawa viongozi wa wasanii wanasubiri mtu afe wanaanza kujianika
na garama nyingi tu huku wakipita nyumba kwanyumba kuomba michango

kwa nini wasiwasaidie watu kama mze small wakiwa wanaumwa

je ataagwa na yeye leaders??mmh nasubiri br aje kusema akak mzee steve
 
ni mwislam, hatoagwa...!!!
 
Mzee ameugua na kukosa huduma na hawa "wasanii" wako tu wanaponda raha! Leo amekufa kila mtu ameweka status na picha yakr whatsup RIP..wapuuzi kabisa..na kesho utasikia wanaomba michango kumuaga mwenzao...ujinga mtupu.. RIP mzee Small
 
Hii nikweli,maana nakumbuka aliwahi kutembelewa na kipindi cha TV mwaka jana nakusema kwamba kuna dawa anatakiwa kupatiwa na vipimo pale muhimbili lakini tatizo ni pesa na ndio maana amekuwa ahudhurii tiba kamili an tiba ya mazoezi maalum pale hospitali.
Na kuhusu kutembelewa pia alisema hakuna.

Sasa hawa watu hii michango ya mamilioni mtu akifa inafaida gani sasa.
Nido maana hata wasanii wa Bongofleva wanaona wenzao wa Bongo movi kamakundi la wazinifu na machangudoa na wazee wa dili.

Subiri uwaone kwenye TV wanavyolia na kujiangusha,hovyooo unafiki mtupu
 
Leomimi

matusi ya nini? Muelimishe mwenzio, wewe sio muislamu safi kama tunavyoambiwa! Yeye hajatukana, ametoa hoja tena nzuri tu. Na kweli waislamu maiti huwa haizungishwi, kumtesa maiti. Mtu akifa mapema wanazika siku hiyo hiyo! Sasa kakosea wapi?
 
Last edited by a moderator:
mtu kafa kwa kukosa lishe nzuri na matibabu
halafu msiba wake mtumie bilioni kumzika.......kweli mchawi sio lazima avae kaniki

Hili nimelisikia kazini mkuu ndio maanankaona ntakuwa mnafikinkikaakimya kabla ajazikwa so sad. Jamani
 
Hii nikweli,maana nakumbuka aliwahi kutembelewa na kipindi cha TV mwaka jana nakusema kwamba kuna dawa anatakiwa kupatiwa na vipimo pale muhimbili lakini tatizo ni pesa na ndio maana amekuwa ahudhurii tiba kamili an tiba ya mazoezi maalum pale hospitali.
Na kuhusu kutembelewa pia alisema hakuna.

Sasa hawa watu hii michango ya mamilioni mtu akifa inafaida gani sasa.
Nido maana hata wasanii wa Bongofleva wanaona wenzao wa Bongo movi kamakundi la wazinifu na machangudoa na wazee wa dili.

Subiri uwaone kwenye TV wanavyolia na kujiangusha,hovyooo unafiki mtupu

Umesahau na miwani kubwa nyeusi...
 
Umekurupuka na viroba vyako vya wk end unajifanya unajua dini za watu mayo zako wewe nani kakwambia muislamu haagwi uliza usiropoke tu kama upo chooni.

Jamani bangi za kugongea mbaya sasa.. Hizo dini za watu, watu gani? kwani wewe mbwa???
Kama unajua dini vizuri, sema ulijualo sio matusi.. Kama nimekosea nikosoe sio kupayuka payuka upuuzi hovyo...
Tuliza limshono lako..
 
mtu kafa kwa kukosa lishe nzuri na matibabu
halafu msiba wake mtumie bilioni kumzika.......kweli mchawi sio lazima avae kaniki

Kulingana na maelezo ya mwanae mzee alisema shughuli zote zifanyikie home kwake then mazishi. so kila kitu kitakuwa tabata. source milardayo.com
 
mtu kafa kwa kukosa lishe nzuri na matibabu
halafu msiba wake mtumie bilioni kumzika.......kweli mchawi sio lazima avae kaniki

Wameboresha badala ya kaniki ni suti nyeusi ni mwendo wa dijitali
 
naipenda ile style ya mabinti kujifanya wamezimia na wengine kujiangusha na kugalagala kwa uchungu mbele ya camera za waandishi huku simu zao na pochi zao wakiwa washawapa shoga zao wawashikie zisije kuibiwa wakiwa wanaigiza uchungu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom