Ndiomaana nashangaa lisu kukosa hizo kura za wazalendo nijuavyo mm wazalendo wapo nyuma ya lisuHujui?
Uzalendo ni kusimama na nchi. Sio kusimama na rais au kiongozi yoyote.Mzee ameleta hoja juu ya uzalendo,na wazalendo kumpigia kura JPM. Lissu hana uzalendo,acha kumtukana mzee wa watu.
Sio lazima. Infact uzalendo wa mtu uko ndani yake. Yeye ndio anajua ni mzalendi au ana act uzalendo.Kama rais ni mzalendo lazima wazalendo wamuunge mkono.
NDIYO sifa pekee mliyobaki Nayo nyie ya matusi paspo kuikataa hoja Kwa hojaUjinga ni mzigo utue
Na siyo kila mzee anahekima wengine wamezeeka na ujinga wao
Sema anataka tumbo lake lituzwe Hana lolote kutesa watu Ni uzalendo kubagua watu Ni uzalendo, kupendelea Ni uzalendo, ukabila Ni uzalendo, Kama uzalendo ndiyo huo kea tafsiri ya mzee shomari basi nchi hii kuendekea tusubiri sanaMzee Shomari anasema mzalendo ni mtu anayelipenda taifa lake kwa moyo wake wote,analitakia taifa lake mafanikio mema, na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.
JPM ni mzalendo wa kweli hiyo kura nyingi za kizalendo lazima zitamuangukia yeye, kwa ujasiri aliouonyesha kwa kulipenda taifa lake, kulinda rasilimali zake na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.
Mgombea wa Chadema, kauli zake za kuhusudu mabeberu na kuonyesha nia ya kutaka kuuza taifa letu kunamuondolea sifa ya kuwa kiongozi anayestahili kupata kura za kizalendo. Mzee Shomari anasema kama mtu anataka urais alafu ananadi sera ya kuweka rehani rasilimali za taifa letu kwa mabeberu ilihali anafahamu kuwa ni wanyonyaji, basi huyo mtu hafai.
Mgombea ambae muda wote ni kusifia na kuhusudu mataifa ya kibeberu hafai kabisa maana anaweza kuuza taifa letu na kuingiza tamaduni za kibeberu kwenye nchi yetu. Mfano Lissu huko nyuma alikuwa kifua mbele kupinga serikali yetu isiwabane mabeberu ambao walikuwa wanatunyonya kupitia kampuni yao ya Accacia, leo anapita majukwaani anasema ataweka rehani madini yetu na kampuni za kibeberu ili zichimbe hapa nchini madini, je huyu mtu anafaa kweli kupata kura toka kwa wananchi wazalendo?
Ni dhahiri kabisa wazalendo hawata mpigia kura Lissu maana amekuwa mtu aliyejaa fikra mbovu za kibeberu na hafai kuwa kiongozi tena,na hili lilithibitika pale aliposema yeye msimamo wake ni kulinda haki za faragha za mashogha, jambo ambalo linaonyesha wazi mabeberu walishamteka kwa kila namna.
Wazalendo watanzanzania hawatampigia kura mtu kama huyu.
Hili jukwaa ni la upinzani tu au la watu was ccm pia?Naona ukipinga hoja ya Lissu yeyote ,unatukanwa sana na unaambiwa ,we ccm ,mpuuuzi.Mods tuambieni hili jukawaa ni la upinzani tu?Who the f*ck is Mzee Shomari? Mods mnaharibu hili jukwaa kwa kuruhusu kila Tom, Dick and Harry kuweka upotolo wao hapa.
Lissu anahusudu mabeberu wakati Magufuli analala ndani ya mjengo wa Mabeberu!Mzee Shomari anasema mzalendo ni mtu anayelipenda taifa lake kwa moyo wake wote,analitakia taifa lake mafanikio mema, na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.
JPM ni mzalendo wa kweli hiyo kura nyingi za kizalendo lazima zitamuangukia yeye, kwa ujasiri aliouonyesha kwa kulipenda taifa lake, kulinda rasilimali zake na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.
Mgombea wa Chadema, kauli zake za kuhusudu mabeberu na kuonyesha nia ya kutaka kuuza taifa letu kunamuondolea sifa ya kuwa kiongozi anayestahili kupata kura za kizalendo. Mzee Shomari anasema kama mtu anataka urais alafu ananadi sera ya kuweka rehani rasilimali za taifa letu kwa mabeberu ilihali anafahamu kuwa ni wanyonyaji, basi huyo mtu hafai.
Mgombea ambae muda wote ni kusifia na kuhusudu mataifa ya kibeberu hafai kabisa maana anaweza kuuza taifa letu na kuingiza tamaduni za kibeberu kwenye nchi yetu. Mfano Lissu huko nyuma alikuwa kifua mbele kupinga serikali yetu isiwabane mabeberu ambao walikuwa wanatunyonya kupitia kampuni yao ya Accacia, leo anapita majukwaani anasema ataweka rehani madini yetu na kampuni za kibeberu ili zichimbe hapa nchini madini, je huyu mtu anafaa kweli kupata kura toka kwa wananchi wazalendo?
Ni dhahiri kabisa wazalendo hawata mpigia kura Lissu maana amekuwa mtu aliyejaa fikra mbovu za kibeberu na hafai kuwa kiongozi tena,na hili lilithibitika pale aliposema yeye msimamo wake ni kulinda haki za faragha za mashogha, jambo ambalo linaonyesha wazi mabeberu walishamteka kwa kila namna.
Wazalendo watanzanzania hawatampigia kura mtu kama huyu.
Huu sasa ni uchakubimbi, unajua lakini unajifanya hujui.Mjengo upi wa mabeberu?
Mzalendo hawakatai wananchi wake kwa sababu tu ya vyama, kabila au dini, ukiona mtu anasemaje sikusaidi kwa sababu wewe ni wachama kingine huyo si mzalendo.Hata kwa vitendo uzalendo unaonekana.JPM ameonyesha kwa vitendo