Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Kura za kizalendo zitaamua nani awe mshindi wa Urais, kwa mantiki hii Lissu hana chake toka kwa wazalendo

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mzee Shomari anasema mzalendo ni mtu anayelipenda taifa lake kwa moyo wake wote,analitakia taifa lake mafanikio mema, na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.

JPM ni mzalendo wa kweli hiyo kura nyingi za kizalendo lazima zitamuangukia yeye, kwa ujasiri aliouonyesha kwa kulipenda taifa lake, kulinda rasilimali zake na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.

Mgombea wa Chadema, kauli zake za kuhusudu mabeberu na kuonyesha nia ya kutaka kuuza taifa letu kunamuondolea sifa ya kuwa kiongozi anayestahili kupata kura za kizalendo. Mzee Shomari anasema kama mtu anataka urais alafu ananadi sera ya kuweka rehani rasilimali za taifa letu kwa mabeberu ilihali anafahamu kuwa ni wanyonyaji, basi huyo mtu hafai.

Mgombea ambae muda wote ni kusifia na kuhusudu mataifa ya kibeberu hafai kabisa maana anaweza kuuza taifa letu na kuingiza tamaduni za kibeberu kwenye nchi yetu. Mfano Lissu huko nyuma alikuwa kifua mbele kupinga serikali yetu isiwabane mabeberu ambao walikuwa wanatunyonya kupitia kampuni yao ya Accacia, leo anapita majukwaani anasema ataweka rehani madini yetu na kampuni za kibeberu ili zichimbe hapa nchini madini, je huyu mtu anafaa kweli kupata kura toka kwa wananchi wazalendo?

Ni dhahiri kabisa wazalendo hawata mpigia kura Lissu maana amekuwa mtu aliyejaa fikra mbovu za kibeberu na hafai kuwa kiongozi tena,na hili lilithibitika pale aliposema yeye msimamo wake ni kulinda haki za faragha za mashogha, jambo ambalo linaonyesha wazi mabeberu walishamteka kwa kila namna.

Wazalendo watanzanzania hawatampigia kura mtu kama huyu.
 
Sema anataka tumbo lake lituzwe Hana lolote kutesa watu Ni uzalendo kubagua watu Ni uzalendo, kupendelea Ni uzalendo, ukabila Ni uzalendo, Kama uzalendo ndiyo huo kea tafsiri ya mzee shomari basi nchi hii kuendekea tusubiri sana
 
Who the f*ck is Mzee Shomari? Mods mnaharibu hili jukwaa kwa kuruhusu kila Tom, Dick and Harry kuweka upotolo wao hapa.
Hili jukwaa ni la upinzani tu au la watu was ccm pia?Naona ukipinga hoja ya Lissu yeyote ,unatukanwa sana na unaambiwa ,we ccm ,mpuuuzi.Mods tuambieni hili jukawaa ni la upinzani tu?
 
Mzee Shomari anasema mzalendo ni mtu anayelipenda taifa lake kwa moyo wake wote,analitakia taifa lake mafanikio mema, na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.

JPM ni mzalendo wa kweli hiyo kura nyingi za kizalendo lazima zitamuangukia yeye, kwa ujasiri aliouonyesha kwa kulipenda taifa lake, kulinda rasilimali zake na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.

Mgombea wa Chadema, kauli zake za kuhusudu mabeberu na kuonyesha nia ya kutaka kuuza taifa letu kunamuondolea sifa ya kuwa kiongozi anayestahili kupata kura za kizalendo. Mzee Shomari anasema kama mtu anataka urais alafu ananadi sera ya kuweka rehani rasilimali za taifa letu kwa mabeberu ilihali anafahamu kuwa ni wanyonyaji, basi huyo mtu hafai.

Mgombea ambae muda wote ni kusifia na kuhusudu mataifa ya kibeberu hafai kabisa maana anaweza kuuza taifa letu na kuingiza tamaduni za kibeberu kwenye nchi yetu. Mfano Lissu huko nyuma alikuwa kifua mbele kupinga serikali yetu isiwabane mabeberu ambao walikuwa wanatunyonya kupitia kampuni yao ya Accacia, leo anapita majukwaani anasema ataweka rehani madini yetu na kampuni za kibeberu ili zichimbe hapa nchini madini, je huyu mtu anafaa kweli kupata kura toka kwa wananchi wazalendo?

Ni dhahiri kabisa wazalendo hawata mpigia kura Lissu maana amekuwa mtu aliyejaa fikra mbovu za kibeberu na hafai kuwa kiongozi tena,na hili lilithibitika pale aliposema yeye msimamo wake ni kulinda haki za faragha za mashogha, jambo ambalo linaonyesha wazi mabeberu walishamteka kwa kila namna.

Wazalendo watanzanzania hawatampigia kura mtu kama huyu.
Lissu anahusudu mabeberu wakati Magufuli analala ndani ya mjengo wa Mabeberu!
Hawa wazee wa busara wapiga ramli ndiyo wanaompotosha Magufuli.
 
Huwezi lipenda taifa lako kwa kudhulumu wengine, ukilipenda taifa lako utawapenda na RAIA wenzako, wawe wa chama chako au wawe wa sio wa chama chako.jpm uzalendo wake una mashaka
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom