iwe siri yako mkuu,maana watu wana wivu sanaKuna tetes humu eti na wewe unamgao wa Escrow
Wewe bila shaka utakua ccmNamchukia sana shaka, huwa anajifanya anajua kukandia africa utadhani yeye ni mzungu. Kipindi kile anamshabikia nyeupe eti ashinde yaani huyu shaka bora afukuzwe tu us, na akirudi kwa m7 amuweke kolokoloni maisha yake yote
unajua jibu lako limewashtua wafamyakaz wezangu hapa ninapobeba boksi kwasabab nimeengua kicheko cha hatarii sana.iwe siri yako mkuu,maana watu wana wivu sana
Sio anakandia afrika asema ukweli nyie ccm msio upenda!!foolish galNamchukia sana shaka, huwa anajifanya anajua kukandia africa utadhani yeye ni mzungu. Kipindi kile anamshabikia nyeupe eti ashinde yaani huyu shaka bora afukuzwe tu us, na akirudi kwa m7 amuweke kolokoloni maisha yake yote
Asante ubarikiwe sana na mungu akupe maisha marefu uendelee kutuelimisha. Ujue tatizo vijana wengi kutoka huku vijijini wakimaliza tu form six wanaanza kuangalia hizo tv za kidhungu basi inakuwa shida humu mitandaoni. Wanaanza kuongea mafumbo mafumbo ili waonekane wao ndio wasomi sana na wanajua sana. Ubarikiwe mkuuStraight talk Africa ni kipindi cha Voice Of America ambacho huzungumzia mambo mbalimbali kuhusu bara la Africa, hususan siasa. Ni kipindi ambacho huwa kinaangalia siasa za Africa kwenye angles mbalimbali na huwaalika mawaziri, viongozi wa upinzani, wachumi na wahadhiri wa kiafrica waliopo States hasa maeneo ya D.C.
Ni kipindi maarufu kwenye community ya African Diaspora maeneo ya East Coast hasa Washington D.C. Kipindi hiki hupokea simu live kutoka sehemu yeyote duniani na pia husoma comments za Facebook au tweeter. Waafrika wengi huchangia straight toka Arica na ku-challenge issues live.
Maalim Seif, Besigye, Raila etc ... wameshahojiwa live on tv kwenye kipindi hiki. Binafsi huwa nakiangalia YouTube. Host wa kipindi hiki ni Shaka Sali, ni mganda.
Kipindi kinachozungumzwa ni hiki hapa chini, na issue yenyewe imeanza dakika ya 47:25
ha ha ha,ndo hivyo mkuu,ukipata nafasi itumie,,oohunajua jibu lako limewashtua wafamyakaz wezangu hapa ninapobeba boksi kwasabab nimeengua kicheko cha hatarii sana.
u made my day bro!
ha ha ha,we jinga kweli,niufiche upumbavu wangu kwa kumhofia nani sasa?,
hujui kuwa upumbavu wa mungu unahekima kuliko mwanadamu?,
bogas kabisa