Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
....yani umeshindwa kutuambia mada ilikuwa inahusu nini,na huyo 'source' alizungumziaje hayo masuala ya US ili na sie tupate picha;ni baada ya source wake pale studio kuzungumzia masuala ya US ghafla jamaa mmoja akakimbia kumvua kinasa sauti na pakasalia idle,let's watch what comes next week!
Sasa unataka ueleweshwe nini na snapshot ya tweet tumeweka hapo ku suppliment maelezo unataka maelezo zaidi,yapi?Wanaochangia kwa Kua wanaielewa Hii thread wote ni wapuuzi.
Nyie ni wapuuzi na ni wabinafsi.
Haiwezekani kuna watu hatujaelewa na tunauliza kuelewa nyie mnaendelea kutupuuzia.
lengo la uzi halikuwa kukueleza yaliyokuwa yakizungumziwa,lengo lilikuwa kukueleza kwamba kipindi kilisitishwa ghafla na nimekuwekea alichotweet shaka,sikuleta uzi kukueleza content bali kilichojiri,hayo ya kizungu koko unayaelewa wewe sikai hata siku nikajisifu kwa kiingereza ni ushamba! kwa hiyo kama nilielewa au sikuelewa haina haja ufahamu!....yani umeshindwa kutuambia mada ilikuwa inahusu nini,na huyo 'source' alizungumziaje hayo masuala ya US ili na sie tupate picha;
.....unaweka kidhungu koko tukuone umeelewa kipindi wakati uzi mzima umedhihirisha hukuelewa kitu ndo mana unarukaruka tu!
.....kwahiyo ulitegemea uwaambie watu kilichojiri tu wasiulize sababu?.,na kimsini 'sababu' umetoa ila inaelea na haina muunganiko ndo mana wengi hatujaelewa;lengo la uzi halikuwa kukueleza yaliyokuwa yakizungumziwa,lengo lilikuwa kukueleza kwamba kipindi kilisitishwa ghafla na nimekuwekea alichotweet shaka,sikuleta uzi kukueleza content bali kilichojiri,hayo ya kizungu koko unayaelewa wewe sikai hata siku nikajisifu kwa kiingereza ni ushamba! kwa hiyo kama nilielewa au sikuelewa haina haja ufahamu!
Hahahahaaaa...Hahaaa!mkuu unaleta habari za Shakka kwa wabongofleva!!hawawezi kuelewa coz hawana utamaduni wakuchek newz wao ni wazee wa futuhi tu na bongo beats
Shaka sali nae asitaafu sasa,tangu niko la tano hadi leo yumo tu
ha ha ha,mkuu shaka sali ni mtangazaji wa voice of america,Hizi thread zingine ni za kupigwa ban hazieleweki.
nilimaliza LY mwaka 1990,kipindi hicho wewe bado umetulia tuli kiunoniSasa uko la ngapi
Na bado unatumia teknolojia waliyovumbua wao kujieleza. Hizi laanaWazungu kupitia vyombo vyao vya habari wameleta madhara makubwa sana africa, leo unawatetea. Ulaaniwe
Demoghasia, vyama vingi, soko huria, haki za binadamu na mambo mengine kama hayo ni sanaa tu za maigizo tulizoletewa sisi vichwa maji tuyaigize tu. Wenyewe hata hawajawahi hata kuzicheza movie hizi.Mi nikajua n Mawingu Tv tu na Kafulila ndo wanaweza fanyiana hivyo kumbe hata baba wa demokrasia......???? No wonder watoto wa demokrasia wanarithi tabia ya baba yao taaratiibuuu.......
nilimaliza LY mwaka 1990,kipindi hicho wewe bado umetulia tuli kiunoni
wengine ni wanasikolojia hapa,U can't be that stupid!
Hunijui, sikujui!
Raia wa ugandaha ha ha,mkuu shaka sali ni mtangazaji wa voice of america,
sina uhakika na uraia wake ila ni muafrika,anatangaza kipindi cha straight talk Africa
wengine ni wanasikolojia hapa,
andiko lako tu linaonyesha uko kidato cha pili,shule za kata
Kuna tetes humu eti na wewe unamgao wa Escrownilimaliza LY mwaka 1990,kipindi hicho wewe bado umetulia tuli kiunoni
...na ngono...Hahaaa!mkuu unaleta habari za Shakka kwa wabongofleva!!hawawezi kuelewa coz hawana utamaduni wakuchek newz wao ni wazee wa futuhi tu na bongo beats
Tv gani Tbc1 au Star tv au Chanel ten?lengo la uzi halikuwa kukueleza yaliyokuwa yakizungumziwa,lengo lilikuwa kukueleza kwamba kipindi kilisitishwa ghafla na nimekuwekea alichotweet shaka,sikuleta uzi kukueleza content bali kilichojiri,hayo ya kizungu koko unayaelewa wewe sikai hata siku nikajisifu kwa kiingereza ni ushamba! kwa hiyo kama nilielewa au sikuelewa haina haja ufahamu!
ha ha ha,we jinga kweli,niufiche upumbavu wangu kwa kumhofia nani sasa?,Invisible ana signature yake naipenda sana.
Umefanikiwa kuficha upumbavu wako!
Umeweza kwa usahihi kabisa kujua nasoma sekondari!