Mzee Reginald Mengi hatari

Mzee Reginald Mengi hatari

ESAM

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
1,169
Reaction score
561
Hivi huyu Mzee ana umri gani? Hebu mcheki vitu vyake

attachment.php


Kumbe ni baba wawili wa uzeeni eee!!
 

Attachments

  • BPDnlReCEAA0JX2.jpg
    BPDnlReCEAA0JX2.jpg
    37.1 KB · Views: 1,769
mtu kuanzisha familia ni hatari kumbe?
 
hivi ana wake wangapi. kwani tulisikia anamilik mjane
 
Kwani tatizo nini? yeye anao uwezo wa kuzaa hata watoto 100 kwa sababu uwezo wa kuwahudumia anao! wewe huo uwezo unao???

hapo yp sahihi kbs!!

Tatizo kuachana na bi mkubwa na kukamata kisista duu. Hiyo kimaadili inakubalika? Hatari iko hapo wala sio kuzaa na hiyo miss Tanzania mstaafu mwenye umri sawa na binti yake.
 
Mambo binafsi hayanihusu na hili ni dua la kuku mwewe aangalii! Hata mimi kumbi kumbi akiingia mdomoni namtafuna maana ni watamu sana!

Hivi mleta mada kama ungekuwa na uwezo na binti huyo akakutokea kwa njia yoyote km kutega, nk. ungemkataa. Hacha wivu wa kike mzee wa watu hana kosa hata kidogo.
 
acheni mzee a enjoy bana kafanya kazi za kutosha husaidia watu,basi vyema atengeneze wa kumridhi kwani mutie (rodney)hatunae tena .
Big up pdg mengi bravoooooo
 
Back to the bible abraham alimzaa isaka akiwa na umri gani?
Isaka alimzaa yakobo na esau akiwa na umri gani
cha ajabu nini hapa?
Hatari iko wapi?
 
Back
Top Bottom