Mzee Pinda: Hii Ndiyo Tanganyika tunayoitaka

Mzee Pinda: Hii Ndiyo Tanganyika tunayoitaka

Ni mwaka 2014 for God's sake iyo Tanganyika ya last century itamkomboaje mwananchi wa kyela anaesombwa na mafuriko leo hii na wengineo wengi.
Tanganyika ipo si lazima iwakilishwe na serikali,
Mbili zatosha, tatu ni karaha tu kwa wananchi kama sisi, kama nyie mnaona ulaji kwenye serikali ya tatu, mkae mkijua wengi tutazidi teseka kwa magharama yasiyokuwa na lazima,
Dai vitu vingine kwa katiba si serikali tatu, it is nonsense to men with common sense.

Kama ipo itamkwe hadharani kikatiba, ionekane! Ujanja ujanja ndo watu wanahoji hilo, kwa nini isiwe straight?
 
Tumechezea bao 3 na wa rundi..ama kweli wanasapoti serikali tatu yan kila mamlaka goli moja moja
 
Utumbo unaongea?
Sina haja ya kuweka hapa iyo gharama, kama unatumia akili ya kichwani utagundua mwenyewe ni gharama lkn kama unatumia utumbo kufikiri hutaona iyo gharama,
U should use the brain i think
 
Ni maoni ya wengi,
Wale waliobaki bungeni pale ni wengi zaidi ya waliotoka.
 
Unadhan tanganyika ikija kutakuwa na unafuu?
Bora tanganyika ife sio muungano
 
Kwani shida ni nn mkuu, watu mbona mna ghiliba sana na tanganyika kama vile mnaijua,
Imeshakuwa tanzania na zenji for 50yrs, and that is how it is going to be for another 5000yrs,

Tanganyika ya nini sasa.
 
Hawa ndio wameuvunja muungano kwakuipa zanzibar katiba,na mamlaka lukuki. Rais amesema wanao vunja muungano watakiona chamtemakuni hajui ccm na uungozi wake ndo walio fanya hilo?
 
Kutamkwa itatamkwa kwenye katiba mpya hilo halina shida, hata mm nataka.
Ila serikali yake kuna haja ya kuiweka? Itasaidia nini.
 

Ndiyo hii ambayo Mwalimu aliipigania na kumuondoa mkoloni


Huo ni uongo dhahiri shahiri, huyo Mwalimu alipigana wapi kuwaondoa wakoloni? Umoja wa Mataifa leo hii imekuwa mkoloni? basi na Tanzania ni wakoloni kwani nasi tupo kwenye Umoja wa Mataifa.

Kwanza kumbuka, Tanganyika haikupata uhuru kwa kupiganiwa, uhuru wake ulikuwa ni wa jitihada za kisiasa na si za kupigana.

Pia kumbuka, Tanganyika haikuwa koloni la Muingereza, Tanganyika ilikuwa chini ya usimamizi wa Uingereza kwa kupewa kusimamia utawala na Umoja wa Mataifa, Watanganyika walikuwa bado hawana elimu wala akili ya kutawala nchi kama walivyoona Umoja wa Mataifa na ndiyo maana watu walikuwa wanakwenda Umoja wa Mataifa kudai madaraka kwa amani na kuna Mtanganyika alienda Umoja wa Mataifa kudai madaraka kabla ya Nyerere.

Msipotoshe historia kwa maandiko ya kijinga.
 
Back
Top Bottom