Mzee mzima Mungai Hoi!!

karisti

Member
Dec 18, 2009
23
2
Hivi huyu mzee anatoa taswira gani kwa watanzania?
Mungai alikuwa serikalini toka 'enzi za mwalimu' , hivi bado hajapata uzoefu tu wa kuomba
kura bila kutoa rushwa kwa wapigakura? Kwa uzee wake na CV yake, inatia aibu kuwekwa rumande! :embarrassed1:Duh!!!!!!!! I cant get ze pikcha! Enewei Sijui nyie wanaJFwenzangu mnaonaje, maana kwa dalili hizi inaonesha mwaka huu kutakuwa na mabadiliko makubwa nchini kwenye uchaguzi ujao. CCM inatia aibu jinsi hawa vingunge wanavyochemsha na kudakwa na TAKUKURU.
Dalili njema kwa SLAA!
 
Wazee sana hutumia pesa zaidi kuendesha mambo yao, ndio uzoefu wao huo. Ndio maana wanasarandia dogodogo kwa pesa na kuwafanya vijana wakose wachumba makini.
 
Hivi huyu mzee anatoa taswira gani kwa watanzania?
Mungai alikuwa serikalini toka 'enzi za mwalimu' , hivi bado hajapata uzoefu tu wa kuomba
kura bila kutoa rushwa kwa wapigakura? Kwa uzee wake na CV yake, inatia aibu kuwekwa rumande! :embarrassed1:Duh!!!!!!!! I cant get ze pikcha! Enewei Sijui nyie wanaJFwenzangu mnaonaje, maana kwa dalili hizi inaonesha mwaka huu kutakuwa na mabadiliko makubwa nchini kwenye uchaguzi ujao. CCM inatia aibu jinsi hawa vingunge wanavyochemsha na kudakwa na TAKUKURU.
Dalili njema kwa SLAA!
sisiemu ni MAFIA...!
wakishakuona ''huna msaada'' kwao ndo basi tena watakutafutia kila sababu ya kukutoa!
nadhani ''mradi wa takukuru'' umeonyesha mafanikio chanya kwa waliou engineer!...nawapongeza sana waliouinstall pia kwa sababu safari hii ''hawakukosea''!....
 
'Jukwaa la Picha' aka 'Jamii Photo'
Hawa junior members kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom