Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,620
- 21,161
No matter how good the guy is, miaka 10 maximum inamtosha. Kuwaza kwamba anapaswa kuwa "rais wa kudumu" ni dhihaka na dharau kwa Watanzania wengine wote.
Magufuli anapaswa pia kutusaidia kujenga institutions imara. So far ni kama one man show. Akichomoka leo, anaweza kuja Rais mpya na mitazamo yake tofauti kabisa na hakutakuwa na sheria za kumbana.