Mzee Mwinyi aibiwa

Wajinga ndiop waliwao. Kumbe kupanda kizimbani ni rahisi? Ngoja uje uongozi wa maana ndo tuone hawa watu nao wakipandishwa kizimbani kama watuhumiwa kujibu kashfa za kufanya biashara wakiwa Ikulu!!!
 
dunia ya sasa pesa ndo kilakitu, haijalishi unacheo au upo katika hali gani. kwenye hii dunia hakuna atakaye kuthatmini bila kuwa na pesa. ONA, MAFISADI wanataka pesa, MWANANCHI nae anataka pesa ,kwa hiyo ipo VITA YA BARIDI na at the end KUNA anaye loss na anayegain!!!
 
Cha kushangaza wakiibiwa mafisadi sheria zinakuwa na nguvu sana, lakini mafisadi wanapowaibia Watanzania basi sheria zinadharauliwa na hivyo mafisadi kama akina Mkapa, Chenge, Mkono, Yona, Ngeleja, Lowassa n.k. wanaachwa tu waendelee kupeta uraiani bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria.

 
Jamani hapo Mwizi ni Mwinyi, huyo jamaa alikuwa katika kujikwamua... chonde chönde!
 

kwi kwi kwi....halafu Batenga akaenda kujengea wapi?............au aliyauza?
 
Zakumi,
Kibanda changu kimekwama. Unajua tena kusomesha watoto wawili chuo kikuu hapa US si kazi ndogo. Sijaweka madirisha, na nitaomba msaada wa kifedha. kwi!kwi!

Bongo si wanasema watoto pensheni. Hao watoto wako tayari wamarekani? Wanamaliza shule wanaangalia maisha yao tu? Anyway, si unajua mimi ni kabaila. Ninayo dili. Turudi Butiama na ku-brand jina la Nyerere.
 
How could an ex-President, with a minister for a son, use a streetwise agent beats me. Doesn't he know Knight Frank and the likes? Ridiculous......:embarassed2::eyebrows::lol:

Watanzania wa siku hizi ni nani mwenye ethics za kazi? Wafanyakazi wa prime institution kama BOT ni wezi, itakuwa agent wa nyumba?
 
Huku ndio Kuzeeka Vibaya!! Si angesamehe Tuu wenye Kuhitaji wakatumia!! Hajui Hela ni Maua na Hakuna anayezikwa nazo?
 
imeandikwa,akikupiga shavu la kulia,geuza na la kushoto.Akikunyang'anya shati mpe na suruali.Mzee Ruksa,ajikaze afanye ivyo
 
Ana bahati huyo wakala kwamba hajang'olewa kucha na Mossad conspiracy.
 
Jamani babu Mwinyi hajakuibia ila tu amekula hapo sehemu ya kodi yetu. Wewe umewaibia watanzania kiasi gani? Je kuuza Loliondo na kwingineko sii wizi? Je tukikushtaki tutakuwa tumekuonea?
Eti ndiyo viongozi wanaodai waundiwe senet watupa mawazo namna ya kuongoza nchi. They should all go to hell!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…