ulitaka watendewe haki ili wewe m-lumumba ikusaidie vip? cdm tusipotendeana haki si ndo vizuri tusambaratike ili m-lumumba ufaidi? m-lumumba unatushauri CDM namna ya kujiimarisha ili tuishinde lumumba?!!!!!!Chadema hawajawatendendea haki wanachama wao wa kitambo, wanachama waliozunguka huko kaskazini kukipigia debe chama na kutangaza sera zao, leo hii anakuja mtu toka team pinzani, let me put it this way ..."Anakuja Some one who is a REJECT " kutoka chama pinzani .. mtu ambaye miaka 7 iliyopita walikuwa wamemuweka katika list wa mafisadi wakubwa wa nchi hii wanampokea na kumpa form ya kugombea urais....
hivi mchakato wa kupata mgombea mbona haukuwekwa wazi...?
Lowassa mmemchagua kwa vigezo vipi ambavyo wanachama wa siku nyingi wa CDM hawana..?
provocation za kitoto hizi, hizi kawafanyie washamba wenzio siyo sisi mutoto ya darisalamuThat was then
sasa Slaa sio lazima asikilizwe
CHADEMA ni Mbowe na Mtei...ndio hasa waliofanikisha kumleta Lowassa
mtaje huyo corrupt na tuwekee na ushahidi wa u-corrupt wake otherwise shutup!!There is a moral principle that says the end does not justify the means. Morally, you cannot do a bad thing in order to achieve a good result.
While removing CCM from power is a good thing, it is morally wrong to use evil methods to achieve that end. For example, we may not kill them off.
Forming alliances with corrupt people is evil. We may not morally do so in order to remove ccm.
I am profoundly disappointed by what has taken place lately. But I remain an ardent follower of Dr Slaa.
Kiherehere nadhani hapo tunatofauitiana. Hata tuliopo CCM tunahitaji mageuziMMM hajatazama a big pic kama muandishi alivyoainisha??
Kinachonishangaza ni nyie watu wa CCM, leo kutuona kwamba sisi tumekosea?? Mi nahisi, kama mgeona sisi tumekosea, ilikuwa ni nafasi bora kukaa kimya, ili 25-10, muthibitishe makosa yetu!!!
Cha, kushangaza leo, CCM anatueleza njia bora ya kuweka upinzani imara!! Upuuzi gani huu???
Nani aliewahi kufungua mdomo wake wakati EL akiwa ndani ya chama chenu kumuita fisadi?? Eti leo ndio mnafata nafasi ya kusema hivyo?? Nendeni kwenye majukwaa mumuite hivyo!! Nadhani majibu atakayowarudishia hamtakaa kusahau kwa kile ninachomfahamu huyu bwana.
EL ni fisadi...sawa, ila Meremeta, EPA, Escrow, deep gereen , kiwila yooote haya ni EL aliingia au alishuudia mikataba?? Rada, ndege ya Rais?? Mbona mnataka kutuona wapumbavu?? Wapumbavu nyie wenyewe!!!
Kwa taarifa yako, subiri uone hiyo 25/10, ndio utajua
Kiukweli ni kama vile Mwanakijiji alikuwa anataka Slaa areact negatively na kutokee mtakafaruku ili aprove point yake (mafahali wawili hawakai zizi moja).
Sijawa fun wa Lowasa lkn nataka mabadiliko kwa nguvuu zote.
Ni kweli angekaa kimya tu kama kweli ni muumini wa mabadiliko. Alisha weka record clear kuwa hayuko in favor of Lowasa kuongoza lkn haikuwa vyema kuchochea au kupandikiza mawazo ya kugombania uraisi btn sio tu Lowasa na Slaa lkn pia wafuasi wao. Haikuwa busara kbs kwa mtazamo wangu. I could take it from watu wengine but not him.
mwanakijiji hawezi waombea chadema mema...ni snitch
Tafakari kwanza what is behind Lowassa kuingia Chadema ndo uje kumshauri Mzee Mwanakijiji.
Sasa ndo naelewa kwa nini wanasema half knowledge is dangerous than total ignorance? Yani kama hii ndo thinking yenu sishangai wale walioaminishwa Gaddafi ndo mbaya na atoke na leo wanashangaa Gaddafi katoka ila yaliyowakuta ni zaidi ya hata yale waliyokuwa wanayawaza.
I feel sorry for you.
Tafakari kwanza what is behind Lowassa kuingia Chadema ndo uje kumshauri Mzee Mwanakijiji.
Sasa ndo naelewa kwa nini wanasema half knowledge is dangerous than total ignorance? Yani kama hii ndo thinking yenu sishangai wale walioaminishwa Gaddafi ndo mbaya na atoke na leo wanashangaa Gaddafi katoka ila yaliyowakuta ni zaidi ya hata yale waliyokuwa wanayawaza.
I feel sorry for you.
Nafikiri bado hujanisoma vizuri. Ngoja basi nikufafanulie kidogo.
Kwanza kabisa inabidi uwe makini kuchambua na kupembua kuwa kwa nini Lowassa ameingia Chadema? Pili jiulize kwa nini anataka yeye tu agombanie????
Alafu nilipotolea mfano wa Gaddafi(Libya) sijamaanisha kuzungumzia njia iliyotumika kumuondoa Gaddafi, ninachomaanisha hapa ni hii slogani yenu mpya kuwa mbaya ni CCM na adui wetu ni CCM, nimesema hivi kuwatahadharisha kuwa hata Libya West na opposition waliwaaminisha walibya kuwa adui wao ni Gaddafi na tatizo lao ni Gaddafi badala ya kuwaeleza kimkakati kuwa kwa Gaddafi mnakosa hiki, hawapi hiki, hampati hiki na sie tukiingia tutawapa hiki, tutafanya hivi na kuweka hiki. Na kila mtu amekuja kuona walibya wanavyojuta leo.
Sasa nyie mnachotaka kukifanya ni tu kusema kuwa tatizo ni CCM as if leo CCM ikiondoka nchi itakuwa paradiso au nyie ni paradiso, alafu kibaya zaidi mnaenda kuwatumia watu walewale waliokuwa na sifa mbaya CCM ambao mlikuwa mnawasema vibaya, ambao mlikuwa mnawatumia kwenye majukwaa yenu kuisema CCM vibaya na CCM ikaonyesha ukomavu kwa kutema kwenye mchakato ili kujipa sifa nzuri kwa umma wa watanzania.