pole sana kamanda Gurumo.
Hussein jumbe aliporudi msondo baada ya kuhamia sikinde kwa muda alitunga kibao hiki kwa ajili yako na wapenzi wote wa msondo aliowaudhi baada ya kuhama huku ikizingatiwa msondo ilikua ikimtegemea baada ya TX MOSHI kufariki,jumbe aliimba hivi:
Naapa sitarudia maudhi kuwafanyiaaa ndugu zangu nyie eeeeeh eeeh,mengi mmenivumilia msondo ngoma mi natulia,familia yangu mchaka mchaka inanipeleka,umri nao Ridhiwani wangu unakimbia
Leo ninatoa ahadi kwa mjomba nimerejea,shida na raha nitavumilia ndio dunia,nasi tunakupokea karibu nyumbani uje tulia,karibu karibu ndugu yangu,hapa ni nyumbani kwako ondoa shaka tunakukaribisha sote karibu,soma alama za nyakati ukishikwa shikamana...