"Mzee Moi" anawakaribisha chakula ya kule kwetu IRINGA

Mkuu sasa unatafuta kesi,hawa jamaa huwa wanakataa kutumia hii kitu na wewe umewawekea na evidensi?
Haya bwana wakienda kujiua na hasira zao sijui utamjibu nini mheshimiwa hakimu?

lakini mbona nasikia kuwa ile mishikaki mitamu pale buguruni ni ya haka ka mnyama?!
 
Haka!! Hayo makuti huyaoni, huwa kuna makuti Iringa??

Huo udongo wa mchanga mweupo hapo chini kwa nini tusingiziane?? Watu wakupikia jiko la kuni kwa kutumia vipande vya mbao zilizobakia kwenye ujenzi huku Ma-Pwanipwani hamwajui??

Kwa nguo chakavu za kimasikini masikini hapo kidogo tumefanana hata nyumbani Kinyanambo tunao lakini huo unene wa kibwegebwege aliyonayo huyu baba hapa hatuna jamani.

Mikoa inayofuga sana PAKA hamyajui jaama, tusisingiziane tafadhali. Waacheni wenye paka zao wakale salama bila kusingiziana.

Hii ni kwa wale wa samaki Nchanga hukooo kwa n-jomba. Hiki kibanda kinaweza kuwa Buguruni. Iringa wanamindi mbwa sio paka.
 
Back
Top Bottom