mmakinitz
Senior Member
- Sep 16, 2020
- 192
- 368
Wadau siku za karibuni iwapo mmekuwa mkifuatilia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kuna jina la mzee mmoja anayeitwa "mzee Mdee" amekuwa akiandikwa sana kwenye mambo ya kisiasa yanayojiri hivi sasa hapa nchini, je huyu mzee mdee ni nani katika medani ya siasa za nchi yetu?