Mzee Mdee ndio nani hapa nchini

mmakinitz

Senior Member
Sep 16, 2020
192
368
Wadau siku za karibuni iwapo mmekuwa mkifuatilia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kuna jina la mzee mmoja anayeitwa "mzee Mdee" amekuwa akiandikwa sana kwenye mambo ya kisiasa yanayojiri hivi sasa hapa nchini, je huyu mzee mdee ni nani katika medani ya siasa za nchi yetu?
 
Mzee Mdee ni Jamaa mmoja alieifanya Kamati kuu ya Chadema ikutane kwa dharura wakati haikukutana kwa zaid ya Mwezi kuamua suala la viti maalum
Unamaanisha ni baada ya kumzaa Halima?
 
Huyo mzee wa kipare anabinti watatu Halima..Vanessa na Mimi Mars (Mariana) na wote ni maarufu...ndugu zao wengine siwajui ila wapo..
Ana bahati familia yake yote ni maarufu. Sababu hapo naona mabinti zake wawili ni wanamuziki na mmoja ni mwanasiasa.
 
Wadau siku za karibuni iwapo mmekuwa mkifuatilia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kuna jina la mzee mmoja anayeitwa "mzee Mdee" amekuwa akiandikwa sana kwenye mambo ya kisiasa yanayojiri hivi sasa hapa nchini, je huyu mzee mdee ni nani katika medani ya siasa za nchi yetu?
Ni miongoni mwa wale COVID 19 lakini yeye ana sauti ya zege
 
Wadau siku za karibuni iwapo mmekuwa mkifuatilia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kuna jina la mzee mmoja anayeitwa "mzee Mdee" amekuwa akiandikwa sana kwenye mambo ya kisiasa yanayojiri hivi sasa hapa nchini, je huyu mzee mdee ni nani katika medani ya siasa za nchi yetu?
Mkuu watu wamechukua zile fununu za kwamba Halima na Bul-aya uwa wana relation huku halima akiact kuwa kidume kwenye ile relation. Hizi habari zilikuwepo kitambo zikafa sasa naona vijana wa Chadema uwa mtu akipishana nao wanazirudisha na hii imetokea kwa wote waliopishana na chama kuanzia kwa zitto mpaka slaa na sasa kwa halima
 
Kumbuka waanzilishi wa hizo fununu ameamua kula nao lunch, sasa inawezekana walimzushia kitu ambacho kwake siyo tatizo.
 
Back
Top Bottom