Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Halima Mdee ndo kasababisha yote hayo kwa huyo mzee.
Halima Mdee kafanyaje jamani!!!!!
Halima Mdee ndo kasababisha yote hayo kwa huyo mzee.
Yuko nyuma ya Mangula..... sijui ni wewe maana kafanana na 'avatar' yako
![]()
Mzee Mangula siku ya mnuso wake
Mzee bado mlugaluga sana!
Amevaa kama wakulima wa kijijini. CCM inafanana na wakulima wa vijiijni. Wengine wamevaa kama wakurugenzi wa makampuni makubwa.