Mzee mangula umevaa nn sasa?

Mzee mangula umevaa nn sasa?

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Mwanasiasa huyu mkongwe hapa TZ alionekana (Pichani) kituko kutokana mavazi aliyovaa siku Viongoz wa vyama vya Siasa walipoenda kuonana na Rais Ikulu, Duuh hata kama upo bize ndo uvae RABA na shati la maua maua jamani hata mkeo hakukuona wakati umetoka home tena unaenda State House punguzen ukale jamani!!
 
Hata mi niliona nikasema mmh any way may be si wengine ndo maclomplicater labda hivi ndo inapaswa kuvaa kwa wau walozoea hayo maisha
 
Amevaa kama wakulima wa kijijini. CCM inafanana na wakulima wa vijiijni. Wengine wamevaa kama wakurugenzi wa makampuni makubwa.
 
Alivaa kama anaenda kurina asali porini daah! huyu mzee si kaoa juzi tu jamani? au kaacha mke kijijini?
 
attachment.php
 
attachment.php
Ushauri wa mke wake mpya aliye oa juzi.
 
Daah hapo ndo unaona hv mtu kama Nape si njaa inamfanya awe CCM hv unaweza kufanya kazi na mzee kama huyu na mkaelewana kweli? unaweza kukuta bado yupo Enzi za 1970s sidhan hata kama huwa anaangalia TV, kutumia email n.k.
 
Mkulima wa nyanya huyo,dah kweli Mangula katoa mpya,kama vipi angepitia hata big brother kuchagua jeans ya mtumba.
 
Amevaa kama wakulima wa kijijini. CCM inafanana na wakulima wa vijiijni. Wengine wamevaa kama wakurugenzi wa makampuni makubwa.

Ni kweli aisee,na raisi naye amevaa kama mkulima wa kijijini bse ssm niya wakulima. Poor Thinker
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom