Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapukuKwa ufupi sana niseme CCM imebakiza mwanachama mmoja tu Mangulla, wengine ni watu Kibao kata kila mmoja anajali maslahi yake!
Nilimanisha ccm mkuu. sema huwa nashindwa kutofautisha kati ya ccm na bongo
Kuwa tajiri halafu ukawa kiongozi ndani ya ccm unakuwa mnyang'anyi.Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapuku
Wengine wote utasikia ana shule, jengo, fremu ya kupangisha, na magari mbayo amenyanganya chamani
Sio ulinzi, ile ni kukuonesha nakuangalia kwa karibu sana na kila unalofanya najua na nikiamua anytime...We kichaa hujui hayati ndo alimpa Mangula ulinzi kutoka TISS tangu akiwa hospitali? Pumbavu sana
Nakumbuka wakati anateuliwa kuwa makamu shangingi lilimfuata shamba huko Iringa!Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapuku
Wengine wote utasikia ana shule, jengo, fremu ya kupangisha, na magari mbayo amenyanganya chamani
unadanganya watu mzee tatzo watanzania tunauwezo mkubwa sana wa kuviamini vitu na kuvichukia pasipo hata kuviona wala kuvishuhudia.in short umbea tunaupa kpaumbelee na kuuamini....au tukuulze ww ulimskia nani
Povu la nini ?
Au wewe ndio yule andunje?
Achana nao,safari hii wamelikoroga wenyewe. Kuna moja alikuwa kabanwa baada ya umeme wa mzee kupiga 'shoti'... Kalijifanya yeye ndo katiba... Mabeyo hoyee
Kiwango cha maadili ya uongozi cha Mangula siyo cha kawaida!Kuwa tajiri halafu ukawa kiongozi ndani ya ccm unakuwa mnyang'anyi.
Aisee Kiukweli Hatukumstahili HayatiSio ulinzi, ile ni kukuonesha nakuangalia kwa karibu sana na kila unalofanya najua na nikiamua anytime...
Heshima kwake Mangula.Kiwango cha maadili ya uongozi cha Mangula siyo cha kawaida!
Ni viongozi wachache mno nchi hii wenye kiwango cha hivyo cha maadili ya uongozi.
Kiwango cha maadili ya uongozi cha Mangula ni cha juu mno!Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapuku
Wengine wote utasikia ana shule, jengo, fremu ya kupangisha, na magari mbayo amenyanganya chamani
Sasa kumbe tuhuma, sasa ukweli ni upi?alitaka kumuhusisha mwendazake na tuhuma za Mangula kuwekewa sumu kitu ambacho si kweli
Nimeshangilia wapi kifo cha JPM?Kuna wakati trump aliwai sema Watu weusi hawana Akili,wanaistaili kutengwa na kutawaliwa tena miaka 100 kidogo watajitambua na kujijua,Kupitia ww nimeamini kweli ww sio binadamu wa kawaida.Unashangilia mtu kufa??
Lakini aliyetuhumiwa ni andunje siyo mwendazake.Bahati mbaya hata huyo andunje simjui...mm nilikua naweka rekodi clear BM na mwendazake zilikua haziiivi kabisa JM na NN wenyewe walijishusha wakaomba radhi ila BM aling'ata meno hadi mwendazake anajiondekea sijui hata kama katuma salamu za pole kweli jasusi ana moyo kuntu mwee[emoji27], Sababu ya kueleza haya yote ni kuwa mtoa comment hapo juu alitaka kumuhusisha mwendazake na tuhuma za Mangula kuwekewa sumu kitu ambacho si kweli.Baada tu ya kusikia mzee kapigwa ya panya mara moja aliagiza mzee apewe ulinzi na G..U walitekeleza hilo, angekua anataka kumkalisha asingekua na haja ya kumpa ulinzi....Sipendi uongo mimi bwana Chura haya tuendelee na mengineyo sasa.
Nimetokwa na chozi kw msg yako hii, kwel wema wanateseka dunian hapaNakumbuka wakati anateuliwa kuwa makamu shangingi lilimfuata shamba huko Iringa!
Unamaanisha Petro MagotiPovu la nini ?
Au wewe ndio yule andunje?
Kumbe lawama za kucha kumparua kichanga, kidole anaweza asihuke kwa namna yoyote? Oohooo basi sawa.Lakini aliyetuhumiwa ni andunje siyo mwendazake.